Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

Yani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?
Kukiwa na Simba mkorofi kwenye kundi, wenzake humfukuza na kumtenga. Hapo ndipo huanza kuwinda vinyama vidogo na binadamu
 
Demokrasia ktk nchi zilizojaa umaskini bado kuna safari ndefu.

Demokrasia ina gharama kubwa sana ya uwazi,uwajibikaji na uzalendo dhidi ya falsasa na maono chanya.

Tunahitaji mabadiriko makubwa ktk mifumo ya elimu zetu ili kupata maendeleo sahihi Kijamii,kisiasa na Kiuchumi..
 
Kwani kuna vyama vingine nje ya CCM vinavyochukua dola?
Pamoja na kwamba kwa sasa amekwama na popularity kitaa imeshuka sana lakini ukweli wa kwamba hakuna mwanasiasa wa opposition aliyepambana kutengeneza chama cha upinzani na ku-groom na kupika wanasiasa wa kuchachafya CCM kama Mbowe.
Mbowe ni mbya sana,,ndo maana chama hakichukui dolla
 
Babe cocochanel upo dodoma kwenye mkutano? mimi nipo nimekuja na basi la wasanii.

Sipo Dodoma na sikupata mwaliko kwa sababu sina connections..

N.b. Mimi ni Mwana JF na sio mwanachama wa chama chochote

Kwa mbaliii navutiwa kujiunga
 
Hahaha mwanamke akiachwa huwa hanyamazi, ni kawaida.

Mumfariji, asije toa uhai wake.
 
Mmh kwa CCM unavoipenda wewe nikajua mwanachama

Sio mwanachama naburudika tu humu JF, ningekuwa mwanachama nilivyo lazima ningekuwa na bonge la cheo kumsadidia Rais kazi kujenga taifa.

Eeeh not ringa ila najijua tangu nikiwa chekechea.. CV imeshiba

Moja najua kuvutia watu wafate nayosema.. Eeeeh

Mfano humu 🤣🤣🤣🤣

Usiku mwema

Tuendelee kupata raha ndani ya JF
 
Hahaha mwanamke akiachwa huwa hanyamazi, ni kawaida.

Mumfariji, asije toa uhai wake.
Uteuzi wa Leo wa Nchimbi huko CCM uwafunze hawa watu kuwa vitu vingine waache muda uamue!! ‘Curiosity killed the cat’ wazungu husema!
 
Mbona wanagombania kutuongoza 😜😜😜kuna Siri gani huko kuongoza wananchi
 
Fanya mpango ujiunge tulambe asali bado mapema😄
Asante na usiku mwema kwako pia.
 
Baada ya huu uchaguzi FAM inabidi afukuzie mbali hizi takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…