komasalonde
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 1,783
- 2,479
Kukiwa na Simba mkorofi kwenye kundi, wenzake humfukuza na kumtenga. Hapo ndipo huanza kuwinda vinyama vidogo na binadamuYani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?