Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

Uteuzi wa Leo wa Nchimbi huko CCM uwafunze hawa watu kuwa vitu vingine waache muda uamue!! ‘Curiosity killed the cat’ wazungu husema!
Wanafahamu, ila wajumbe huwa wanajazana upepo kudhani wana maamuzi.
 
Yani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?
Tangu uzaliwe,
Sorry ya nini tena unaiweka kwenye tusi la maana?
Tukana na mkalie kimya ajaze mwenyewe.
Wamekuwa wapumbaf sana hawa kuiinterrupt kila hoja za maana zinapotolewa.
Wel done sir. 💪💪💪
 
Mbowe ni mtu wa ajabu sana kumbe, ndo maana wajinga kama YERICKO wamekuwa watwana wa kumuita ALPHA NA OMEGA ndo naanza elewa maana yake .

Nimepata machungu sana, Mbowe afukuzwe uanachama , au arudishe kila aina ya mchango kwa mwanachama aliojitolea , ili abaki na kujimilikisha chama
 
Wafuasi wa Lissu mna kiwanda cha kufyatua matusi na kashfa. Hamuwezi kujenga hoja.
Hoja zipi wakati FAM kumbe alikua anaendesha chama kihuni namna hii, aya ndo madhara ya kukaa madarakani mda Mrefu alafu uku umezungukwa na wapambe uchwara
 
Yericko Nyerere
 
Yani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?
Kama huyo Mbowe amefanya "too much" kwa nini kwenye kuzungumzwa iwe "too few". Acha watu wafunguke watutoe tongotongo Sisi wenye macho ya kuungaunga
 
Tatizo lenu hapa JF, ni umri. Mnapenda bado mikiki mikiki na siasa za Shari. Hilo ndilo kosa la Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…