Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Ashukuriwe Mungu wa mbinguni Mwenyezi kwa kumpa madam Rose mume mwema na handsome. Ama kweli Mungu hamtupi mja wake! Amesubiri muda mrefu baada ya kutoswa na watanzania akalazimika kukimbilia Kenya kama ilivyowekwa bayana kwenye uzi huu hapa chini:
 
Kapata marioo full option amlee na mawifi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…