hauko insta wii??Mkuu ungeileta hapa ili na sisi tuione
Tatizo ni Ngada tu hakuna zaidi ya ngada imeshaharibu oblangataKwanza aache kutumia nganda.
Kina dada sana sana walirogwa, ni vigumu kumuona mwanamue akijivingirisha chini eti katolewa mapepo.
hauko insta wii??
Kwa ufupi ni kwamba Rose Mhando hajawahi kuokoka, alichojaaliwa na Mungu ni kile kipaji chake cha uimbaji.
Kutokana na kukua kwa jina lake huku akiwa hana msingi wala mafundisho ya Wokovu, kupotea zaidi ilikua ni jambo lisilokwepeka.
Ilisemekana tokea kitambo kwamba ni teja!
Ni kweli ana matatizo na anahitaji msaada mkubwa lakini kwa bahati mbaya huyo anayeonekana akimuombea na yeye pia anahitaji maombi kwani ni mmojawapo wa wale FAKE PASTORS
#qulhuwallahu =suratil iqhlaaswSio kupagawa na sijamaanisha hivo, ila aliwahi kutestiwa uchawi, na ukajaa, na ndio akaambiwa na Jibriil A.S tiba yake asome Surah Nass, Falaq, na Kul huwallah ahad.[emoji4]
Mkuu ungeileta hapa ili na sisi tuione
weka video tuone wote mkuu
Fanya kutupia basi.
Au hadi tu-comment kuiomba mzee baba.