Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Hayo ni mapepo.
Kuna mahali alijichanganya mapepo yakapata mlango wa kumwingilia.
Anahitaji msaada wa Kiroho na Kimwili kwasasa.
 
Kwa ufupi ni kwamba Rose Mhando hajawahi kuokoka, alichojaaliwa na Mungu ni kile kipaji chake cha uimbaji.

Kutokana na kukua kwa jina lake huku akiwa hana msingi wala mafundisho ya Wokovu, kupotea zaidi ilikua ni jambo lisilokwepeka.

Ilisemekana tokea kitambo kwamba ni teja!

Ni kweli ana matatizo na anahitaji msaada mkubwa lakini kwa bahati mbaya huyo anayeonekana akimuombea na yeye pia anahitaji maombi kwani ni mmojawapo wa wale FAKE PASTORS

so ni kwamba wafu wanazika wafu wenzao.
hiyo ni kununua cheni feki kwa hela fake
 
She was never fully into it.SHE WAS FAKE AND WAS WARNED THAT THIS WILL HAPPEN IF SHE DONT FORSAKE THE DOUBLE LIFE SHE WAS LEADING..alijibu kwa dharau mno.

Ghafla akaanza abuse substance, achana na Bangi na pombe ambazo kitambo alikua akipiga...now she’s lost it.alihamia Machakos kama sikosei.

Na, kwa niwajuavyo wakenya this whole video may be staged!!
 
MUNGU HADHIHAKIWI, WALA HAPANA APONAE AIBACHO MBELE YA MADHABAHU YA BWANA!
 
Back
Top Bottom