Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Naona kisha kata tamaa na MBINGU(NI)Nilikutana nae hapa Dodoma, area C karibu na Platinum Bar........
Aiseeee.....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Huyu mama anapombeka wallah...[emoji134] [emoji134]
Pengine ndiomaana ameamua amalizie kutafuna raha tu hapa duniani, ili asije akakosa raha Mbinguni na Duniani...tehteehhNaona kisha kata tamaa na MBINGU(NI)
ni usanii kama wale waunga "Juhudi"Kama ni usanii basi tutashukuru , ila kama ni ugonjwa basi tumuombee
Ha ha ha umeona kama nilivyoona mimi!Hilo pepo lina huruma kweli..
Baada ya kuanguka bado akawa na akili ya kujisitiri asibaki uchi hadi alipoletewa kanga!!!
Kabla ya hapo anaonekana akishusha sketi yake vizuri...
Manabii wa ......
Ha ha ha ha ha kweli hata mi nimeona anazuia sketi isifunguke da hii dunia noma sana kuna watu nikiwaona peponi ntaamini kweli uchawi upoHa ha ha umeona kama nilivyoona mimi!
Teh! Teh! Teh! Teh! Kama vile mwanaume aliyefumaniwa akiwa ndio kwaaaanzaaa anaanza kutelemka Kitonga.........mpaka ASHUKE ndio akili zitamrudia!Pengine ndiomaana ameamua amalizie kutafuna raha tu hapa duniani, ili asije akakosa raha Mbinguni na Duniani...tehteehh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama bongo ni La Liga kimuziki basi Kenya ni segunda division
You are totally right walahiMungu amsaidie sana na aipe nguvu familia yake huu niwakati mgumu sana kwao nadhani kuliko wakati mwingine wowote
Hajui kuwa CCM ni pepo piaNilisikia pia kuwa anataka kwenda uislam sijui aliishia wapi!!
Nimecheka kilewo anasema pepo limemuingia baada ya kuwa upande wa CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee... kwahyo waislam wamempiga kitu?Amepata mapepo alifanya abomination akahamia kwenye uislamu akalitukana jina la Bwana wa Majeshi. Leo amepigwa majini 10. Sisi hatuwezi kitu ni Mungu tu wa kumponya
Nilisikia pia kuwa anataka kwenda uislam sijui aliishia wapi!!
Nimecheka kilewo anasema pepo limemuingia baada ya kuwa upande wa CCM 🤣🤣🤣
Aisee... kwahyo waislam wamempiga kitu?