Kuna story moja nilipata kusimuliwa mitihani wanayopitiwa waimba injili..kuwa shetani lucifer akiwa malaika mbinguni alikuwa akimuimbia Mungu hadi Mungu ana appreciate..baada ya kuasi akatimuliwa..tokea hapo yeyote anayemuimbia Mungu ni halali yake..ndio maana hata kina bahati wamekengeuka..kina upendo nkone wanatumia mikorogo, kina rose muhando ndio hao, kuna yule aliimba `nalia` sijui yupo shimo gani...huwa wanamezwa haraka kutokana na imani ndogo na kujisahau wajibu kutokana na kuzongwa na anasa za dunia.