Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

huyo Rose ana mental illness muda mrefu. ni wa kusaidiwa.
 
Kuna story moja nilipata kusimuliwa mitihani wanayopitiwa waimba injili..kuwa shetani lucifer akiwa malaika mbinguni alikuwa akimuimbia Mungu hadi Mungu ana appreciate..baada ya kuasi akatimuliwa..tokea hapo yeyote anayemuimbia Mungu ni halali yake..ndio maana hata kina bahati wamekengeuka..kina upendo nkone wanatumia mikorogo, kina rose muhando ndio hao, kuna yule aliimba `nalia` sijui yupo shimo gani...huwa wanamezwa haraka kutokana na imani ndogo na kujisahau wajibu kutokana na kuzongwa na anasa za dunia.
 
Nilisikia pia kuwa anataka kwenda uislam sijui aliishia wapi!!

Nimecheka kilewo anasema pepo limemuingia baada ya kuwa upande wa CCM [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hajui kuwa CCM ni pepo pia
 
Kuna mdada alikuwa anaitwa Amina naye pia alishindikana kabisa, bahati akaenda sober house ya Kigamboni na amepona kabisa walahi
Rose aendelee kumtafuta Mungu wake tu walahi
 
Nilisikia pia kuwa anataka kwenda uislam sijui aliishia wapi!!

Nimecheka kilewo anasema pepo limemuingia baada ya kuwa upande wa CCM 🤣🤣🤣

Ondoa upumbavu wako hapa walahi
 
Hivi huko ttwita hamuwezagi kuongea bila kuweka vi neno vya kiingereza!?
 
Back
Top Bottom