figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.
Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa
Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.
Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.
ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA
Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.