Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

We jamaa ni mwongo sana. Kwani huo urithi anaozungumzia ndio hizo bandari au urithi wa uzima wa milele
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Mungu wa Tanganyika yupo hai
 
Mzee wa Msoga ameisikia!

Na huyu atakamatwa kama yule wa Mbeya
 
He
Mzee wa Msoga ameisikia!

Na huyu atakamatwa kama yule wa MbeyaHerode alimkamata Yahana mbatizaji akamkata kichwa. Herode akaona ni mchezo mzuri akamkamata na Petro!! Mungu kamwambia kumbe haunijui!! Akamtoa Petro gerezani kwa kutumia malaika!! Na hapa atasema kumbe haunijui, kitakachotokea bado ni siri yake!
 
Unafikiri kwa nini nilisema kabla ya yote…? Ni kwamba kila nilichokisema nakifahamu vyema. Yes, ni Rwanda.
Kwakua Teknolojia ni shahidi wa kweli asodanganya na kwamba wewe ni mfatiliaji mzuri na Mpenzi wa Rose Muhando, kindakindaki yaan huwez pitwa na tukio la Rose Muhando.

Kwa Heshima na Kwa Niaba ya Wale wote wanaopenda kujua ukweli kabla ya kuhukum .

Naomba unisogezee kavideo tu, au hata Ka link ka Hilo tamasha.
 
Mliisha ambiwa uchochezi nyuma ya pazia la dini hautavumiliwa au atakabidhiwa debe lake na kupumzishwa gerezani mpaka akili zikae sawa.
 
Unadhani watu wote wanaogopa kukaa gerezani? utawafunga mili yao lakini huwezi kuwafunga akili na mawazo yao, Mdude, Mwambusi, Dr Slaa, Madeleka, Lissu mbona bado wapo na hawaogopi?
 
Sio kwamba nae atashikwa na mapolisi halafu waseme ni "uchochezi" na baadae waseme ni "kudanganya" au ataambiwa "anaitomasatomasa" serikali kama tulivyoaminishwa na Waziri Mchengerwa.

Freedom of expression.
And freedom of speech !🙏
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Ngoja Majini "WEMA" waje.

Ngoja Majini "WEMA" waje....
 
Back
Top Bottom