Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

Ndio uhuru wa manyani huo . Hongera samia kwa kuruhusu kila mtanzania atoe maoni yake nilikua sijui kama rose muhando yupo
expand...
kichaa weweusituletee ujinga wako humu baada ya kudanga huoni chini ya bibi kidude nchi inaangamia umeme umezimika majizi kama nyie mnahongwa Kuja kutupigia kelele vitu vimepanda bei kupe ni wengi isipime vijana wa Pwani vilaza wala mihogo ya pilipili na wapaka hinaa mtuambie nini nyie nchi imewashinda wekeni mbali kabisa ujinga wenu wa kutuharibia nchi kwa kuhongwa hongwa hovyo nyambaaaf
 
Huu wimbo ni wa zamani sana hata kabla Samia hajawa rais kwa hiyo hauhusiani kabisa na bandari
 
Kabla ya yote mimi ni shabiki mkubwa wa Rose Muhando. Tafadhali acha kupotosha, hiki kipande cha video kipo katika video ambayo aliimba Live Rwanda kanisani kwa huyo kijana anayeimba nae anaitwa Frank.

Alienda kufanya tamasha, ndipo kabla ya tamasha akaenda kanisani kwao na Frank kuimba nae maana Frank amekuwa ni kijana anayempenda sana na kumfuatilia Rose.

Hii video ni mwanzoni kabisa mwa mwaka jana.

Masuala ya bandari hayakubaliki ila twende na facts.
Hatuangalii wimbo umeimbwa lini na wapi...

Tunaangalia maudhui na ujumbe wa wimbo kama yanafiti kwa wakati huu...

Kwa hiyo kweli inawezekana umeimbwa miaka kadhaa huko nyuma lakini ujumbe wake ndiyo wa wakati huu wa sasa...

Na maana yake ni kuwa shetani ametumia udhaifu na ukosefu wa ufahamu (understanding) na maarifa (knowledge) kwa viongozi wetu tuliowapa dhamana ya kutuongoza kuwafanya washindwe kufanya machaguzi (choices) sahihi na hivyo kuwapelekea kufanya maamuzi ya hovyo yenye kuliangamiza..

CC: johnthebaptist, shetani hazingiziwi Mzee. Yupo ndani ya viongozi wetu na anatenda kazi kupitia viongozi wetu kuleta madhara na mabaya kwetu sisi sote na nchi kwa ujumla..

La muhimu kuelewa ni kuwa, wakati mwingine shetani hamtoki na kumwachia mtu kwa kukumea tu kwa maneno "toka au achia shetani"

Ila shetani humtoka na kumwachia mtu kwa kuingiza maarifa (knowledge) na uelewa/ufahamu (understanding) Kwa mtu aliyezingirwa na shetani. Na shetani na wafuasi wake akishagundua tu kuwa una maarifa na uelewa, hawezi kukuletea ujinga wake...

Maudhui ya wimbo huu yako kwa wakati wake hasa sasa kwa yanayotokea ktk taifa letu..
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Wameokoteza wanasiasa na watu mlioona maarufu wooote wakaisha, mkaokoteza na Maaskofu Katoliki, mmesomeana Waraka Makanisani weeeeee, sasa mmehamia kuokoteza na waimba injili!
Mna bidii
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Angeunga mkono bandari hata humu msingeleta
 
Mtamaliza injili zote lkn kamwe Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, hawezi kuacha kuwatumikia wananchi kwa chuki, ghiliba na fitina zenu. Mungu atamlinda
 
kichaa weweusituletee ujinga wako humu baada ya kudanga huoni chini ya bibi kidude nchi inaangamia umeme umezimika majizi kama nyie mnahongwa Kuja kutupigia kelele vitu vimepanda bei kupe ni wengi isipime vijana wa Pwani vilaza wala mihogo ya pilipili na wapaka hinaa mtuambie nini nyie nchi imewashinda wekeni mbali kabisa ujinga wenu wa kutuharibia nchi kwa kuhongwa hongwa hovyo nyambaaaf
Sir John Roberts na wanaofanana na yeye inawezekana kabisa kuwa hawajahongwa ila wako hivyo Kwa sababu ya ujinga na kutoelewa..

Hawa wakifunguliwa akili na ufahamu, obvious wataelewa maana hata wewe Nigrastratatract nerve wakati fulani ulikuwa hivyo, ulipoelewa ukawa upande wa HAKI..
 
Wakristo wakiwa na jambo Lao!atukuwasikia wakati watu kutoweka, watu kuokotwa kwenye viroba,leo kila kona kwaya.tusiiharibu Nchi yetu mzuri.
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Kweli kabisa,

Shetani Achia Bandari zetu!!!
 
Unafikiri kwa nini nilisema kabla ya yote…? Ni kwamba kila nilichokisema nakifahamu vyema. Yes, ni Rwanda.
Iwe Rwanda au kakonko,

Ujumbe unasema Achia Mali zetu.

Haiwezekani kuwa watumwa katika Nchi yetu wenyewe!!
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Sasa wapi kasema kuhusu Bandari??!
 
Huyu si ndo yule muuza madawa ya kulevya kwa jina la yesu au
 
Sir John Roberts na wanaofanana na yeye inawezekana kabisa kuwa hawajahongwa ila wako hivyo Kwa sababu ya ujinga na kutoelewa..

Hawa wakifunguliwa akili na ufahamu, obvious wataelewa maana hata wewe Nigrastratatract nerve wakati fulani ulikuwa hivyo, ulipoelewa ukawa upande wa HAKI..
Utakuja kunielewa tu .so far samia she's doing good despite some minor discrepancies
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Mamawee...

🔥🔥🔥🔥

Ngoja tuone sasa.
 
kichaa weweusituletee ujinga wako humu baada ya kudanga huoni chini ya bibi kidude nchi inaangamia umeme umezimika majizi kama nyie mnahongwa Kuja kutupigia kelele vitu vimepanda bei kupe ni wengi isipime vijana wa Pwani vilaza wala mihogo ya pilipili na wapaka hinaa mtuambie nini nyie nchi imewashinda wekeni mbali kabisa ujinga wenu wa kutuharibia nchi kwa kuhongwa hongwa hovyo nyambaaaf
Utapata tabu sana mpaka ifike 2030
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Haogopi kutekwa ?
 
Hongera sana Rose hii nchi shetani kaishikiria mafisadi wameikamata.
 
Back
Top Bottom