Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

Kabla ya yote mimi ni shabiki mkubwa wa Rose Muhando. Tafadhali acha kupotosha, hiki kipande cha video kipo katika video ambayo aliimba Live Rwanda kanisani kwa huyo kijana anayeimba nae anaitwa Frank.
Alienda kufanya tamasha, ndipo kabla ya tamasha akaenda kanisani kwao na Frank kuimba nae maana Frank amekuwa ni kijana anayempenda sana na kumfuatilia Rose.
Hii video ni mwanzoni kabisa mwa mwaka jana.
Masuala ya bandari hayakubaliki ila twende na facts.
Kenya au Rwanda? Kuna Mnyarwanda anayewwza kuimba wimbo wenye mashairi ya hivyo kweli hata kama anamuimba 'Shetani?'
 
Kiki kwa pikipiki, watakuja wengi sana sana sana, RPC wa Mbeya kawapa watafuta kiki fursa.
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyimbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo.

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie
View attachment 2755959
😆😆😆😆😆
 
Chadema porojo zenu za bandari zimebuma mpaka mnaanza kulisha maneno watu maarufu ili malengo yenu ovu yaonekane yanaungwa mkono na kila mtu.
 
Huu wimbo aliimba kitambo sana
 
Chadema porojo zenu za bandari zimebuma mpaka mnaanza kulisha maneno watu maarufu ili malengo yenu ovu yaonekane yanaungwa mkono na kila mtu.
Nyimbo nzuri lakini au mdau unasemaje

Ova
 
Ndio uhuru wa manyani huo . Hongera samia kwa kuruhusu kila mtanzania atoe maoni yake nilikua sijui kama rose muhando yupo
Sio kwamba nae atashikwa na mapolisi halafu waseme ni "uchochezi" na baadae waseme ni "kudanganya" au ataambiwa "anaitomasatomasa" serikali kama tulivyoaminishwa na Waziri Mchengerwa.

Freedom of expression.
 
Huu ni uhaini, anatuletea taharuki, nina imani vyombo vya usalama vitamshughulikia ipasavyo
 
Kabla ya yote mimi ni shabiki mkubwa wa Rose Muhando. Tafadhali acha kupotosha, hiki kipande cha video kipo katika video ambayo aliimba Live Rwanda kanisani kwa huyo kijana anayeimba nae anaitwa Frank.
Alienda kufanya tamasha, ndipo kabla ya tamasha akaenda kanisani kwao na Frank kuimba nae maana Frank amekuwa ni kijana anayempenda sana na kumfuatilia Rose.
Hii video ni mwanzoni kabisa mwa mwaka jana.
Masuala ya bandari hayakubaliki ila twende na facts.
Umemalizia vizuri sanaa
 
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa.

Haki zetu wenyewe nazo tumenyang'anywa

Sasa safari hii tumejua. Tutapiga mpaka kieleweke.

Kumbe shetani umekalia mafanikio yetu.

ACHIA.. BARAKA ZETU ACHIA

Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie.

View attachment 2755959
Mh Samia anatuona manyani tu
 
Back
Top Bottom