figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Udhaifu huo ndo ushetani wenyewe sasaShetani anapakaziwa mengi haya mengine ni madhaifu ya binadamu tu
Shetani yuko very smart bwasheeudhaifu huo ndo ushetani wenyewe sasa
Moyo unakuuma.Ndio uhuru wa manyani huo . Hongera samia kwa kuruhusu kila mtanzania atoe maoni yake nilikua sijui kama rose muhando yupo
Rose muhando alihamia Kenya wakati wa marehemu kutokana na ugumu wa maisha.Moyo unakuuma.
Wekeni bajeti ya risasi kwa jumla ya Watanzania wote
Mtu akikuchukia atakutungia kila aina ya uzushi ili tu uchafuke.Kabla ya yote mimi ni shabiki mkubwa wa Rose Muhando. Tafadhali acha kupotosha, hiki kipande cha video kipo katika video ambayo aliimba Live Rwanda kanisani kwa huyo kijana anayeimba nae anaitwa Frank.
Alienda kufanya tamasha, ndipo kabla ya tamasha akaenda kanisani kwao na Frank kuimba nae maana Frank amekuwa ni kijana anayempenda sana na kumfuatilia Rose.
Hii video ni mwanzoni kabisa mwa mwaka jana.
Masuala ya bandari hayakubaliki ila twende na facts.
Hii ni collection kwani huu wimbo upo muda mrefu nadhani hata kabla Jpm kuwa RaisRose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyimbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo.
Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie
View attachment 2755959
Wewe Comment yako ni hii hapa👆👆👆, acha kumeng'enyua viuno kutaka kudandia comment ya Nifah kwa kujilegeza macho na mapaja👇👇Ndio uhuru wa manyani huo . Hongera samia kwa kuruhusu kila mtanzania atoe maoni yake nilikua sijui kama rose muhando yupo
Mtu akikuchukia atakutungia kila aina ya uzushi ili tu uchafuke.
Huyo jamaa ana sauti ya dhahabuRose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyimbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo.
Rose Muhando ni Malikia wa nyimbo za injili kwa miaka zaidi ya 20. Rose ameweza kufikisha ujumbe mzuri sana. Mwenye sikio na asikie
View attachment 2755959