Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

Kenya au Rwanda? Kuna Mnyarwanda anayewwza kuimba wimbo wenye mashairi ya hivyo kweli hata kama anamuimba 'Shetani?'
 
Kiki kwa pikipiki, watakuja wengi sana sana sana, RPC wa Mbeya kawapa watafuta kiki fursa.
 
😆😆😆😆😆
 
Chadema porojo zenu za bandari zimebuma mpaka mnaanza kulisha maneno watu maarufu ili malengo yenu ovu yaonekane yanaungwa mkono na kila mtu.
 
Huu wimbo aliimba kitambo sana
 
Chadema porojo zenu za bandari zimebuma mpaka mnaanza kulisha maneno watu maarufu ili malengo yenu ovu yaonekane yanaungwa mkono na kila mtu.
Nyimbo nzuri lakini au mdau unasemaje

Ova
 
Ndio uhuru wa manyani huo . Hongera samia kwa kuruhusu kila mtanzania atoe maoni yake nilikua sijui kama rose muhando yupo
Sio kwamba nae atashikwa na mapolisi halafu waseme ni "uchochezi" na baadae waseme ni "kudanganya" au ataambiwa "anaitomasatomasa" serikali kama tulivyoaminishwa na Waziri Mchengerwa.

Freedom of expression.
 
Huu ni uhaini, anatuletea taharuki, nina imani vyombo vya usalama vitamshughulikia ipasavyo
 
Umemalizia vizuri sanaa
 
Mh Samia anatuona manyani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…