Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

We jamaa ni mwongo sana. Kwani huo urithi anaozungumzia ndio hizo bandari au urithi wa uzima wa milele
 
Mungu wa Tanganyika yupo hai
 
Mzee wa Msoga ameisikia!

Na huyu atakamatwa kama yule wa Mbeya
 
He
 
Unafikiri kwa nini nilisema kabla ya yote…? Ni kwamba kila nilichokisema nakifahamu vyema. Yes, ni Rwanda.
Kwakua Teknolojia ni shahidi wa kweli asodanganya na kwamba wewe ni mfatiliaji mzuri na Mpenzi wa Rose Muhando, kindakindaki yaan huwez pitwa na tukio la Rose Muhando.


Kwa Heshima na Kwa Niaba ya Wale wote wanaopenda kujua ukweli kabla ya kuhukum .


Naomba unisogezee kavideo tu, au hata Ka link ka Hilo tamasha.
 
Mliisha ambiwa uchochezi nyuma ya pazia la dini hautavumiliwa au atakabidhiwa debe lake na kupumzishwa gerezani mpaka akili zikae sawa.
 
Mliisha ambiwa uchochezi nyuma ya pazia la dini hautavumiliwa au atakabidhiwa debe lake na kupumzishwa gerezani mpaka akili zikae sawa.
Unadhani watu wote wanaogopa kukaa gerezani? utawafunga mili yao lakini huwezi kuwafunga akili na mawazo yao, Mdude, Mwambusi, Dr Slaa, Madeleka, Lissu mbona bado wapo na hawaogopi?
 
Sio kwamba nae atashikwa na mapolisi halafu waseme ni "uchochezi" na baadae waseme ni "kudanganya" au ataambiwa "anaitomasatomasa" serikali kama tulivyoaminishwa na Waziri Mchengerwa.

Freedom of expression.
And freedom of speech !πŸ™
 
Ngoja Majini "WEMA" waje.
Ngoja Majini "WEMA" waje....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…