Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

Kule kwetu Cuba huwa tunaita kuunganisha doti. Doti ikivaana basi ndio hivyo mtatumia Maneno elfu kuinasua doti moja, haya pambaneni vijana wangu 16% Ila mnasikika!!!🤣🤣🤣
 
Mungu mbariki Rose muhando

Anaakili sana huyu dada ana uwezo wa kuwa Rais na kufanya vizuri kuliko yule aliyeingia kibahati anaetaka kuuza nchi kwa waarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…