Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

Muacheni na maiaha yake. Ww inakuuma nn akiiba kama hao wamarekani wanasheria kali basi wasiruhusu miziki yao iskikike kwetu
Ni hapa Bongo mmezoea kuzima maneno lakini sio Marekani dadadeki navompenda Michael Jackson nakuapia Rose utajuta
 
Video ina miaka miwili sasa, kungekua na shida kama usemayo ingekua ilishafutwa, utajuaje kama hakupata ridhaa ya wahusika?
 
Video ina miaka miwili sasa, kungekua na shida kama usemayo ingekua ilishafutwa, utajuaje kama hakupata ridhaa ya wahusika?
Marekani wamechelewa kupata taarifa kwasababu nyimbo zetu hazifiki kule ila kwa sisi watetezi wa Michael Jackson chamoto utakipata Rose
 
Hapa ni
Hujawahi ibaaa?
Hujawahi iba mke wa mtu au mchumba wa mtuuuu?
Tuwe wapole na tuwe wakali kama tu wasafi
Sheria ifuatwe kama mmezoea wizi ni ninyi
 
Siongelei kilichotokea hapa per se bali Sampling has been happening since way Back

Manu Dibango's 1972 classic, Soul Makossa, was sampled by Michael Jackson on Wanna Be Startin' Somethin (Thriller album), also sampled by Akon and Rihanna.

Tena acha hio kuna wengine wanarudia word for word bali wanaimba upya kila kitu mwisho wa siku kuipa nyimbo mileage - Whitney Houston na I will Always Love You imeimbwa na watu kadha wa kadha
 
Huruhusiwi ku sample wimbo wa msanii bila ruhusa yake, hawa wote waliofanya hizo sampo walipata kibali kutoka Team ya usimamizi wa kazi za hao wasanii,
 
Huyu mwanamama ni mwimbaji mahiri sana. Wimbo wake wa "woga wako" unatumiwa sana na motivational speakers kwenye radio za mikoani. Sijui kama wanamlipa.
 
Jamaa umeandika uzi kwa uchungu...
Wasanii wanateseka kutunga nyimbo wewe unakuja tu kirahisi kuiba haki lazima itendeke. Yeye anafikiri Michael Jackson amefariki kwahiyo hakuna usimamizi wa kazi zake alivyokuwa na akili finyu. Jina Michael Jackson tayari ni brand na ina team ya kulinda kazi zake, kafariki yeye likini sio team yake
 
Huruhusiwi ku sample wimbo wa msanii bila ruhusa yake, hawa wote waliofanya hizo sampo walipata kibali kutoka Team ya usimamizi wa kazi za hao wasanii,

una uhakika rose mhando hajapata kibali? Hiyo timu ya michael jackson imelalamika?
 
Unatumia nguvu sana kusiko kuhusu. Wewe umeathirikaje kwa hilo?
Tena hapa ndipo patanifanya niende Los Angeles manake uwezo ninao tena mkubwa nimeishi sana Atlanta Georgia kwahiyo mimi sio mgeni wa Marekani. Nachotaka nikuwa kazi za wasanii ziheshimiwe.
 
Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa.

Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson.

Baada ya kazi ya utunzi wa nyimbo za injili kukushinda ukaona afadhali uibe wimbo wa Michael Jackson - "Will You Be There" ukausampo na producer wako mjinga asiyefahamu makucha ya Wamarekani yalivyomakali mkadanganyana mtengeneze Rose Muhando - "You Are My Mountain"

Ninyi watu mnaojinadi kuwa wacha Mungu ndio mnaongoza kwa maovu mabaya yanayowashinda Wapagani. Rose nakupa taarifa kuwa Marekani huwa hawaibiwi fanyeni ujinga wenu wabongo kwa wabongo kuibiana kazi za sanaa lakini usithubutu kugusa Marekani utapigwa faini ambayo inalingana na bajeti ya nchi au utaozea jela mwizi wewe.

Team ya Michael Jackson itakushikisha adabu hivi karibuni. Ulishindwa kutunga wimbo si bora ungeimba Taarabu au Singeli? Mlokole Jambazi wewe huna haya? Una aibisha walokole wenzako.

Aliyeibiwa: Michael Jackson - "Will You Be There"
Ushahidi:

Mwizi: Rose Muhando - "You Are My Mountain "
Ushahidi:

Umetoa povu,umeongea kwa hasira utadhani una undugu na wamarekani.ungeeleza tu kistaarabu tungekuelewa..
 
Umetoa povu,umeongea kwa hasira utadhani una undugu na wamarekani.ungeeleza tu kistaarabu tungekuelewa..
Mimi nimeishi sana Marekani usinichukulie kama mshamba flani hivi. Hii ngoma hailali unaonesha viashiria vya kunashirikiana na wezi
 
Back
Top Bottom