Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

Huruhusiwi ku sample wimbo wa msanii bila ruhusa yake, hawa wote waliofanya hizo sampo walipata kibali kutoka Team ya usimamizi wa kazi za hao wasanii,
wengine huwa ni after the fact na kushikana mashati mpaka mahakamani ila ndio hivyo sometime mtu kufuatilia anaona kwamba inaweza kuwa kesi ya mbuzi unauza ngombe hence anaamua kupotezea au anashukuru tu kwamba an otherwise forgotten song is back to the limelight

Crystal Cartier v. Michael Jackson​

Singer-songwriter, Crystal Cartier, sued Michael Jackson and others for an alleged infringement of her song “Dangerous” copyrighted July 18, 1991.
 
Haya matatizo yanatokea sana lakini sheria za hati miliki kwa upande wao zimekazwa. Hapa bongo tunachangamoto kubwa sana ya kutokufuata sheria
 
Kabla hatujawashika mashati wasanii ngoja nikuulize ni lini umenunua album, single au movie yoyote au kitabu.., au ni mzee wa torrents...

Nasema hivyo sababu sisi binadamu huwa tunanyoosha vidole bila kujiangalia wenyewe... Yaani kuanzia msanii mpaka walaji wote wapigaji
 
Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa.

Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson.

Baada ya kazi ya utunzi wa nyimbo za injili kukushinda ukaona afadhali uibe wimbo wa Michael Jackson - "Will You Be There" ukausampo na producer wako mjinga asiyefahamu makucha ya Wamarekani yalivyomakali mkadanganyana mtengeneze Rose Muhando - "You Are My Mountain"

Ninyi watu mnaojinadi kuwa wacha Mungu ndio mnaongoza kwa maovu mabaya yanayowashinda Wapagani. Rose nakupa taarifa kuwa Marekani huwa hawaibiwi fanyeni ujinga wenu wabongo kwa wabongo kuibiana kazi za sanaa lakini usithubutu kugusa Marekani utapigwa faini ambayo inalingana na bajeti ya nchi au utaozea jela mwizi wewe.

Team ya Michael Jackson itakushikisha adabu hivi karibuni. Ulishindwa kutunga wimbo si bora ungeimba Taarabu au Singeli? Mlokole Jambazi wewe huna haya? Una aibisha walokole wenzako.

Aliyeibiwa: Michael Jackson - "Will You Be There"
Ushahidi:

Mwizi: Rose Muhando - "You Are My Mountain "
Ushahidi:
Mbona hasira hivyo? Au ni afisa wa haki miliki?
 
Ndugu yangu michezo hii ni ya kwetu hapa Bongo nchi nyingine ni haramu na wako serious sana,
 
Mbona hasira hivyo? Au ni afisa wa haki miliki?
Nimechukizwa sana kwasababu nilitembelea kaburi la Michael Jackson nikahuzunika sana, mimi ni shabiki yake kindakindaki na sitakubali kumuona msanii wangu akidhulumiwa lazima haki itendeke. Niko Emirates natafuta ticket ya Los Angeles nifuate team ya Michael Jackson ili kieleweke
 
Iba na ww si Michael kakufa zake. Au ni wivu kwa mtoro w kike. Kama sio wivu mkamate mpeleke mahabusu sw.
 
Nimechukizwa sana kwasababu nilitembelea kaburi la Michael Jackson nikahuzunika sana, mimi ni shabiki yake kindakindaki na sitakubali kumuona msanii wangu akidhulumiwa lazima haki itendeke. Niko Emirates natafuta ticket ya Los Angeles nifuate team ya Michael Jackson ili kieleweke
Aisee [emoji3]
 
Rose anajua kabisa ukiwa unaishi Chanika ikatokea umeiba wazo au kazi ya mtu wa Masaki...
Wakati wewe soko lako ni Chanika..
Hao wa Masaki hata kujisumbua kukutafuta hawatajisumbua.
🤔
 
Ahaha ruge ameguswa kidogo tu unalia lia

Taasisi kubwa ya michael jackson haiwezi kuangaika na binti wa kitanzania anayetumikia Mungu kwa uimbaji

Endelea na mahangaiko ukichoka utulize kalio
Nipe wiki tatu ndipo utafahamu kuwa nani mpumbavu kati yangu au wewe
 
Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa.

Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson.

Baada ya kazi ya utunzi wa nyimbo za injili kukushinda ukaona afadhali uibe wimbo wa Michael Jackson - "Will You Be There" ukausampo na producer wako mjinga asiyefahamu makucha ya Wamarekani yalivyomakali mkadanganyana mtengeneze Rose Muhando - "You Are My Mountain"

Ninyi watu mnaojinadi kuwa wacha Mungu ndio mnaongoza kwa maovu mabaya yanayowashinda Wapagani. Rose nakupa taarifa kuwa Marekani huwa hawaibiwi fanyeni ujinga wenu wabongo kwa wabongo kuibiana kazi za sanaa lakini usithubutu kugusa Marekani utapigwa faini ambayo inalingana na bajeti ya nchi au utaozea jela mwizi wewe.

Team ya Michael Jackson itakushikisha adabu hivi karibuni. Ulishindwa kutunga wimbo si bora ungeimba Taarabu au Singeli? Mlokole Jambazi wewe huna haya? Una aibisha walokole wenzako.

Aliyeibiwa: Michael Jackson - "Will You Be There"
Ushahidi:

Mwizi: Rose Muhando - "You Are My Mountain "
Ushahidi:

Kausha, unaumia eneo gani?
 
Back
Top Bottom