Rose Muhando mwizi wa wimbo wa Michael Jackson

Nyimbo Ina miaka miwili mtandaoni na hakuna kilichotokea. Au ndo unaipigia promo maana nimelazimika kuiangalia nakutana na two years ago.
 
Mtanzania mwenzio huyo mshauri, povu LA nini? Una ugomvi naye?
 
Mtoto wa kiume wewe punguza chuki zisizo na sababu! Utafikiri wewe ndo umeibiwa huo wimbo ulivyo na gubu
 
Wimbo wa miaka 2 nyuma uzi unaletwa leo.!?
 
Childhood mates wa Rose Muhando mnaitwa mumtetee mwimbaji wa nyimbo za Mungu.
Mwambie afute haraka wimbo huo kila kwenye soko la music aliloweka lasivyo nitaushusha mimi dadadek famasihara na Michael Jackson bana.
 
Du, umemtukana Sana huyu mama inaonekana na wewe ni mwimbaji ila tungo zako zimebuma. Ungeelezea vizuri alchofanya Rose bila kashfa ungeelweka. Kwa levo yako wewe huna uwezo wa kusema Fulani kaiba wimbo wa Michael , vipo vyombo vinasimamia issue kama hizo wao ndo wangesema au wangelalamika .Hata hivyo Mimi sio shabiki wa Rose lakini Kwa muziki wa gospel Rose huko juu. Mimi ni ipenda kwaya ya Mt Kizito . AMANI NA SALAMA
 
Nipo Los Angeles kwenye Makumbusho ya Michael Jackson nampigania nipeni siku chache muone ngoma inayompasukia huyo mwizi. Dadadeki jana nilisema ngoma hailali sikuwa nawatania nipo serious sana na hii kitu. Mwizi mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…