Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Alifuata "sugar coated" preaching. Ajiunge na Imani Katoliki
 
Ukristo si lLelemama Ukristo ni Msalaba ni kujitoa Ukipigwa shavu la kulia unageza na shavu la kushoto,Mtu akikunyang'anya kibaragashia mpe na Kanzu kabisa na mtu akikulazimisha kwenda kilomita moja basi nenda naye kilomita mbili.Hivyo Rose kama ameshindwa na kuamua kula Matapishi yake Mwenyewe basi tumuachie mwenyewe aamue kusuka au kunyoa kulikoni kuwa Malaya wa Ki-DINI.
 
Ukristo ni uvumilivu na uwe na hofu ya Mungu kama ameshindwa kila la kheri aendako lakini ajuwe lazima atamkiri Yesu Kristo.
 
Inampasa kufikiri Mara nyingine kabla ya kuchukua uamuzi huo. Ila aache utapeli jamani.
 
Ingia haraka kwenye dini isiyo na shaka,huko hakuna kuabudu yule binti wa kisanamu,hakuna ndoa za ke kwa ke wala me kwa me,hakuna kuuziana papai au embe kwa sh laki 1/2...,huku hakuna kutengeneza vilema(sanaa)karbu sana kama kwel umeiona haki
 
Carefully about what?...
Kuna mahali nimesema uislam unataka maovu??
Sipendi kuongelea udini so mind your business.

We mbwiga kweli hupend kuongelea udin, huku unakumbatia udini. Ovyooo
 

Na kweli c lelemama ndio maana mitume na manabii wameshushwa wengi kama kumbi kumbi kuhakikisha ukristo unasonga mbele
 
Je? Nibebe de nibebeee hutaitamka? Maana bila kuimba hivo sherehe haitaish au maziko
 
'Utamuuu..!utamuuu!,nimeonjaaa utamuuu eeew! Utamuuuu!
Ngwengweleew ngwengweleeee!'
 
Kama ni kweli hii inaitwa Spirit of satisfication baada mtu kupokea blessings kutoka kwa Mungu. Ajiangalie sana, "Maana maandiko yanasema, itakuwa ngumu kwa mtu aliyeonja kipawa cha Roho Mtakatifu kufanywa upya baada ya kurudi nyuma." Mungu amsaidie kurekebisha mambo yake.
 
Siku niliposikia kwamba Rose anabwia ngada nilikuwa mgumu kuamini sasa kwa kauli hii ninayo kila sababu ya kuamini kwani wala ngada hawaaminiki
 
So " yesu ameisha utamu" ameamua kurudi kwa " mudi"
 
Rose mpendwa wangu,ninatamani kukuona ukiimaliza vyema safari nzuri uliyoianza.Kama wewe hujaona upendo katika ukristo wako,nyimbo zako zimebadili mioyo ya watu wengi na huna sababu za kusikia sauti za kukatisha tamaa kutoka kwa binadamu yoyote kwani Mungu ndiye mwenye kukufariji.Je umewahi kujiuliza jinsi baraka ulizopata wewe ni wangapi wenye vipaji vikubwa kuliko hata chako hawajawahi kuzionja baraka hizo?Kumbuka upendo wako ule wa kwanza.Mungu akubariki kwa kazi yako
 
Matumizi ya ngada ni hatari kwa ubongo wako
 
Wokovu wake ni wa mashaka..huu ndio mda wa majaribu kwake, sasa badala ya kumuamini Mungu afight kwa ajili yake as in Psalm 35, ye anakimbia..sio kila mtu anauweza wokovu, Yesu alisemwa na kutukanwa, kupigwa na kuteswa hadi ikafika mda anauliza lakini bado alimjua na kumtii Baba yake, huyu hamjui,..sio rahisi kama alivyokuwa anafikiri
 
Laana ya Kakobe ishaanza kumtafuna dada Rose. Kumbe ndiyo maana ulikuwa unaimba kwa style za kurukaruka kama watu wa mataifa eee???
Hujui kuwa Neema ya Bwana Yesu ndo imekufikisha hapo ulipo?? ulipo kuwa huko kwa wavaa hijab kipaji chako kilijulikana na nani? na kilikukunufaisha vipi?
 
Ndooorobo wewe, usinrukanie muumini wangu.
Jifunze kuitii nafsi iliyo nyonge wewe mnywa uji wa NGAMA. Next time ukiombwa suluhu maliza kiutu uzima.

Ona unavyojipendekeza we mwehu, subiri upakatwe sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…