Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

Pamoja na kwamba mimi ni Muislam, nampenda sana Rose Muhando. Yani nampenda kuliko ninavyoweza kuelezea.
Hakuna album wala wimbo wake ambao haupo katika simu yangu.

Hizi ni nyimbo zangu bora zaidi kutoka kwake...
1. Mteule uwe macho: Huu wimbo nahisi alisaidiwa na malaika kuuandika, ujumbe na vingi alivyoimba vinatokea hii leo!
Yalikuwa maono. Huu ndio wimbo wangu bora wa muda wote wa injili.

2. Kumbe ndivyo ulivyo: Huu wimbo nikiusikiliza huwa hadi nalia, aliimba kwa hisia kali na ni wimbo wa faraja. Nyakati
zangu za huzuni huwa nausikiliza sana.

3. Akina mama: Huku wanawake tumechambwaaaa, ila una mafunzo na nitayazingatia. Lol

4. Nakaza mwendo: Ni wimbo uliojaa matumaini na kutokujali sana ya dunia, naupenda.

5. Nibebe: Nafikiri huu ndio wimbo mkubwa zaidi kutoka kwake, ulikuwa ufunguo wake kimataifa. Ujumbe wake
sidhani kama nahitaji kuuelezea. Una majonzi ya uchungu wa usaliti kutoka kwa watu wa kuaminika.

6. Ee Mungu nitakushukuru: Huu wimbo huwa nausikiliza kila ninapohitaji kujikumbusha ukubwa wa Mungu na kuomba
kwake busara na hekima.
 
Pamoja na kwamba Mimi ni mkristo Tena niliyebatizwa, lakini Huwa naona Ngoma za Rose mhando zimekaa kishamba sana,Ile misuli yake inavyomkaza ni kama inaongeza Ile Hali ya ushamba!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana mapokeo yake nami nakubaliana na wewe, inaweza kwako ikawa hivyo ila kwa mwengine ukawa ni mbaraka mkubwa ambao unamfariji wakati wa huzuni na kumpa furaha

Kwa mwengine ujumbe, melody au hata sauti tu ikamgusa na akafurahia
 
Rose ana nyimbo matata sana ila ukimfatilia ayupo sawa kichwani,kwamba"akilala nyama zinabaki kwenye mkeka.🤣😅
Isivyo bahati, mimi pia kwenye uandishi wangu nimejaribu kuisimulia jinsi nilivyokuwa namsikiliza ila inawezekana sijatumia uwasilishaji mzuri sana, ila alichokuwa anamaanisha ni kama majeraha na ule mchubuko ulikuwa unabaki kwenye mkeka

(Simply, pata picha mtu alieungua na moto akilala kwenye mkeka the way anavyochubuka, kwa hiyo sio nyama kama vile ila ni michubuko hivyo ngozi inabaki)
 
Rose Muhando mzazi wake mmoja ni mkristo haswa mama kitu kama hicho ,basi itakuwa ni hadithi mbili tofauti
 
Pamoja na kwamba mimi ni Muislam, nampenda sana Rose Muhando. Yani nampenda kuliko ninavyoweza kuelezea.
Hakuna album wala wimbo wake ambao haupo katika simu yangu.

Hizi ni nyimbo zangu bora zaidi kutoka kwake...
1. Mteule uwe macho: Huu wimbo nahisi alisaidiwa na malaika kuuandika, ujumbe na vingi alivyoimba vinatokea hii leo!
Yalikuwa maono. Huu ndio wimbo wangu bora wa muda wote wa injili.

2. Kumbe ndivyo ulivyo: Huu wimbo nikiusikiliza huwa hadi nalia, aliimba kwa hisia kali na ni wimbo wa faraja. Nyakati
zangu za huzuni huwa nausikiliza sana.

3. Akina mama: Huku wanawake tumechambwaaaa, ila una mafunzo na nitayazingatia. Lol

4. Nakaza mwendo: Ni wimbo uliojaa matumaini na kutokujali sana ya dunia, naupenda.

5. Nibebe: Nafikiri huu ndio wimbo mkubwa zaidi kutoka kwake, ulikuwa ufunguo wake kimataifa. Ujumbe wake
sidhani kama nahitaji kuuelezea. Una majonzi ya uchungu wa usaliti kutoka kwa watu wa kuaminika.

6. Ee Mungu nitakushukuru: Huu wimbo huwa nausikiliza kila ninapohitaji kujikumbusha ukubwa wa Mungu na kuomba
kwake busara na hekima.
Hakika wewe ni mfuatiliaji mzuri wa nyimbo zake maana umezichambua kabisa😂, na hongera kwa hilo

Ni kweli muziki kwa ujumla wake una nguvu sana na umekuwa ukituunganisha watu wa jamii tofauti, mitazamo ya fikra hata dini.
 
Rose Muhando mzazi wake mmoja ni mkristo haswa mama kitu kama hicho ,basi itakuwa ni hadithi mbili tofauti
Sio kweli, fuatilia vizuri historia yake, Baba yake alikuwa ni Sheikh mkubwa tu mwenye asili ya Tanga na Mama yake alikuwa ana asili ya Rwanda ambako walihamia miaka mingi Tanga kujitafuta kwenye mashamba ya mkonge (sasa pata picha enzi hizo za manamba wa mkonge)
 
Kama ukristo ndo dini sahihi kwanini Yahweh anaruhusu uwepo wa waislamu?

Hivi rose ukimuangalia haraka haraka yupo sawa kichwani?

Anatunga visa tu
The same applies kama Uislamu ndio dini sahihi kwanini anaruhusu uwepo wa wakristo?, utatoka hapo kama hao ndio sahihi vipi waabudu masanamu??? Hivyo utakuwa unazunguka for no reason ilhali unaujua ukweli

Hizi vigezo vya fulani kuwepo kwanini huyu yupo havina mashiko kwa sababu tukifatilia tangu kuumbwa misingi ya Ulimwengu binadamu aliumbwa na uhuru wa kufanya yale anayopenda ili mradi asitoke nje ya yale aliyoyaamrishwa na Mungu

Kukosea kwake ndio kumetufikisha leo hii, na ahata kesho ukiamua kuunda imani yako si ajabu ukapata wafuasi maana ni hiari ya mtu kuamini kile anachoamini
 
Yeap kila mtu ashinde mechi zake ... Story zipo nyingi unaweza kusoma ya Mwaipopo pia alikuwa mkristo kabisa...Kuna shekhe Elias ..

Marehemu nyundo nahisi pia alikuwa mkristo...Mtu afuate pale anapoona panafaa kikubwa lengo ni kuishi kwenu misingi mizuri....Ukiandika kule googl zipo story kibao kwa dini tofauti ...
 
rose ana sauti ya ajabu sana.napenda nyimbo alizoimba akiwa ametulia sio zile za mchakamchaka.
zipo clip anaimba live kabisani dodoma wanakwaya wenzake,hata studio wanakiri ni kazi nyepesi sana kurekodi wimbo na rose.

bahati mbaya baada ya kuanguka watanzania tulimtosa,mpaka wakenya wakaiona fulsa na kumfanya anyanyuke tena.

Mungu aendelee kumtumia.
Kweli kabisa nyimbo zake za utulivu ni bora sana na ziko very emotional ( sijui nimepatia lugha)
 
Niokoke nimpokee Yesu??

Yule msela aliwambwa na chupi pale msalabani?ndie awe Mungu WANGU?
ukishindwa kumheshimu kwa Uungu wake,mpe heshima hata ya unabii mkali zaidi kuliko wote waliowahi kukanyaga hapa ardhini.

vinginevyo unamtia aibu mtume,kwamba alikufundisha lakini ukaishia kunenepa tako badala ya kuelimika.
 
Niokoke nimpokee Yesu??

Yule msela aliwambwa na chupi pale msalabani?ndie awe Mungu WANGU?
Mathayo 11:25-29
[25]
Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga.

[26]Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.

[27]Akasema, Nimekabidhiwa vyote na baba yangu; wala hakuna amjuaye Mwana, ila Baba; wala hakuna amjuaye Baba, ila Mwana, na ye yote ambaye Mwana apenda kumfunulia.

[28]Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.

[29]Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu;
 
Yeap kila mtu ashinde mechi zake ... Story zipo nyingi unaweza kusoma ya Mwaipopo pia alikuwa mkristo kabisa...Kuna shekhe Elias ..

Marehemu nyundo nahisi pia alikuwa mkristo...Mtu afuate pale anapoona panafaa kikubwa lengo ni kuishi kwenu misingi mizuri....Ukiandika kule googl zipo story kibao kwa dini tofauti ...
Yes, thats why haya sio mashindano nimeelezea stori yake kutokana na mahali alipotoka na jinsi Mungu alivyomnyanyua, sasa sielewi kwanini wengi wanatokwa na povu kana kwamba ni mashindano
 
Best songs from Rose
1:woga wako ndio umaskini wako
2: Facebook
3:Ni wewe!
Mwenyezi Mungu amzidishie nguvu na ujasiri wa kuendelea kutuburudisha
 
Back
Top Bottom