Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenBest songs from Rose
1:woga wako ndio umaskini wako
2: Facebook
3:Ni wewe!
Mwenyezi Mungu amzidishie nguvu na ujasiri wa kuendelea kutuburudisha
Nafikiri uko kwenye evolution stage.unatoka kwenye dini unaelekea kwenye IMANI ambayo ndiyo msingi wa mahusiano.Pamoja na kwamba mimi ni Muislam, nampenda sana Rose Muhando. Yani nampenda kuliko ninavyoweza kuelezea.
Hakuna album wala wimbo wake ambao haupo katika simu yangu.
Hizi ni nyimbo zangu bora zaidi kutoka kwake...
1. Mteule uwe macho: Huu wimbo nahisi alisaidiwa na malaika kuuandika, ujumbe na vingi alivyoimba vinatokea hii leo!
Yalikuwa maono. Huu ndio wimbo wangu bora wa muda wote wa injili.
2. Kumbe ndivyo ulivyo: Huu wimbo nikiusikiliza huwa hadi nalia, aliimba kwa hisia kali na ni wimbo wa faraja. Nyakati
zangu za huzuni huwa nausikiliza sana.
3. Akina mama: Huku wanawake tumechambwaaaa, ila una mafunzo na nitayazingatia. Lol
4. Nakaza mwendo: Ni wimbo uliojaa matumaini na kutokujali sana ya dunia, naupenda.
5. Nibebe: Nafikiri huu ndio wimbo mkubwa zaidi kutoka kwake, ulikuwa ufunguo wake kimataifa. Ujumbe wake
sidhani kama nahitaji kuuelezea. Una majonzi ya uchungu wa usaliti kutoka kwa watu wa kuaminika.
6. Ee Mungu nitakushukuru: Huu wimbo huwa nausikiliza kila ninapohitaji kujikumbusha ukubwa wa Mungu na kuomba
kwake busara na hekima.
Dah unazikumbuka vizuri nyimbo zake. We itakua sio muislamu kiviiile.Pamoja na kwamba mimi ni Muislam, nampenda sana Rose Muhando. Yani nampenda kuliko ninavyoweza kuelezea.
Hakuna album wala wimbo wake ambao haupo katika simu yangu.
Hizi ni nyimbo zangu bora zaidi kutoka kwake...
1. Mteule uwe macho: Huu wimbo nahisi alisaidiwa na malaika kuuandika, ujumbe na vingi alivyoimba vinatokea hii leo!
Yalikuwa maono. Huu ndio wimbo wangu bora wa muda wote wa injili.
2. Kumbe ndivyo ulivyo: Huu wimbo nikiusikiliza huwa hadi nalia, aliimba kwa hisia kali na ni wimbo wa faraja. Nyakati
zangu za huzuni huwa nausikiliza sana.
3. Akina mama: Huku wanawake tumechambwaaaa, ila una mafunzo na nitayazingatia. Lol
4. Nakaza mwendo: Ni wimbo uliojaa matumaini na kutokujali sana ya dunia, naupenda.
5. Nibebe: Nafikiri huu ndio wimbo mkubwa zaidi kutoka kwake, ulikuwa ufunguo wake kimataifa. Ujumbe wake
sidhani kama nahitaji kuuelezea. Una majonzi ya uchungu wa usaliti kutoka kwa watu wa kuaminika.
6. Ee Mungu nitakushukuru: Huu wimbo huwa nausikiliza kila ninapohitaji kujikumbusha ukubwa wa Mungu na kuomba
kwake busara na hekima.
Kama islamic ni dini ya kweli, mbona kuna wasio waislamu 5.2b duniani, kwanini wasimuamini Allah kama hao 1.8b?Kama ukristo ndo dini ya kweli mbona kuna waislamu 1.8b duniani, kwanini na wao wasimuone yesu kitandani kama rose?
Tuwe tunajiuliza haya maswali
Rekodi miziki ya kijanja ili washamba wenzie Rose wajifunze ujanjaPamoja na kwamba Mimi ni mkristo Tena niliyebatizwa, lakini Huwa naona Ngoma za Rose mhando zimekaa kishamba sana,Ile misuli yake inavyomkaza ni kama inaongeza Ile Hali ya ushamba!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
God is good all the time
Kumbe pasta Pius Mwiru bado yuko hai!neno la Mungu ni nyundo... Ooh
Ni nyundo .....
Neno la Mungu ni nyundo ooooh ni nyundo....
Tuko live na pasta Pius mwiru kutoka Nairobi Kenya......
secretarybird uje nikuombee
Oyaah unaipata mpaka KBC Taifa, sauti ni ya mkenya 😂😂Kumbe pasta Pius Mwiru bado yuko hai!
Zamani nilikuwa namsikiliza kupitia KBC kutoka nchini Kenya. Alikuwa na sauti fulani yenye kukwaruza na Kila alipotaka kufungua kipindi kwenye redio alipenda kusema "... Ndugu msikilizajiiiii....."
Umenikumbusha mbali!
KBC sauti ya mkenya nilikuwa naisikiliza miaka ya nyuma Sana enzi hizo redio nyingi zilikuwa za AM.Oyaah unaipata mpaka KBC Taifa, sauti ni ya mkenya 😂😂
Sijajua maake toka simu janja zimekuja ni muda sijawahi sikiliza radio Ila jamaa alikuwa vizuri sana.....
Nipo mbinguniiKBC sauti ya mkenya nilikuwa naisikiliza miaka ya nyuma Sana enzi hizo redio nyingi zilikuwa za AM.
Nilikuwa simkosi Mwiru na kama unavyojua kipindi kilikuwa kinasindikizwa na ngoma ya kilokole isemayo "....ohhhh! Lulu, ohhhhh Lulu..."
Hahahaha!
Hapo umenena madini matupu mkuu😂😁Nipo mbingunii
Mmmmmh.... aaaaaah aah
kweli ndani ya Yesu Kuna Raha ya ajabu,
Isiyo na mwisho
Kweli ni kama nii mmmmmh
Nakumbuka Faza alikuwa ikifika saa mbili kwenda saa tatu ndo alikuwa anatega hicho kipindi,
Aseeh vya kale ni dhahabu ina bring back memories miaka ya 2010 kurudi nyuma ......
Aseeh tumezeeka,
😂😂 Ila hiyo nyimbo ya lulu mtoni kijichi walijua kuitendea haki..Hapo umenena madini matupu mkuu😂😁
Kwa hakika vya kale ni dhahabu.😂😂 Ila hiyo nyimbo ya lulu mtoni kijichi walijua kuitendea haki..
Saa hz gospel hakuna Cha upako tunaenda tuu ilimradi
Aseeh kazi nzuri brotherKwa hakika vya kale ni dhahabu.