Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

Nafikiri uko kwenye evolution stage.unatoka kwenye dini unaelekea kwenye IMANI ambayo ndiyo msingi wa mahusiano.
Watu wanadhani katika dini tunapata imani,ila kumbe katika IMANI ndo tunapata dini.
 
Dah unazikumbuka vizuri nyimbo zake. We itakua sio muislamu kiviiile.
 
Huyu mama ana balaa.....
Ni aibu wabongo tulifurahia anguko lake, i dont care anachoimba ni gospel au lah but ana balaa.
 
Balaa lipi tena usiku huu wa manane br
 
Kama ukristo ndo dini ya kweli mbona kuna waislamu 1.8b duniani, kwanini na wao wasimuone yesu kitandani kama rose?

Tuwe tunajiuliza haya maswali
Kama islamic ni dini ya kweli, mbona kuna wasio waislamu 5.2b duniani, kwanini wasimuamini Allah kama hao 1.8b?

Tuendelee kujiuliza haya maswali
 
neno la Mungu ni nyundo... Ooh

Ni nyundo .....

Neno la Mungu ni nyundo ooooh ni nyundo....

Tuko live na pasta Pius mwiru kutoka Nairobi Kenya......
secretarybird uje nikuombee
 
neno la Mungu ni nyundo... Ooh

Ni nyundo .....

Neno la Mungu ni nyundo ooooh ni nyundo....

Tuko live na pasta Pius mwiru kutoka Nairobi Kenya......
secretarybird uje nikuombee
Kumbe pasta Pius Mwiru bado yuko hai!
Zamani nilikuwa namsikiliza kupitia KBC kutoka nchini Kenya. Alikuwa na sauti fulani yenye kukwaruza na Kila alipotaka kufungua kipindi kwenye redio alipenda kusema "... Ndugu msikilizajiiiii....."

Umenikumbusha mbali!
 
Oyaah unaipata mpaka KBC Taifa, sauti ni ya mkenya πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijajua maake toka simu janja zimekuja ni muda sijawahi sikiliza radio Ila jamaa alikuwa vizuri sana.....
 
Oyaah unaipata mpaka KBC Taifa, sauti ni ya mkenya πŸ˜‚πŸ˜‚

Sijajua maake toka simu janja zimekuja ni muda sijawahi sikiliza radio Ila jamaa alikuwa vizuri sana.....
KBC sauti ya mkenya nilikuwa naisikiliza miaka ya nyuma Sana enzi hizo redio nyingi zilikuwa za AM.
Nilikuwa simkosi Mwiru na kama unavyojua kipindi kilikuwa kinasindikizwa na ngoma ya kilokole isemayo "....ohhhh! Lulu, ohhhhh Lulu..."

Hahahaha!
 
Nipo mbingunii

Mmmmmh.... aaaaaah aah

kweli ndani ya Yesu Kuna Raha ya ajabu,

Isiyo na mwisho

Kweli ni kama nii mmmmmh

Nakumbuka Faza alikuwa ikifika saa mbili kwenda saa tatu ndo alikuwa anatega hicho kipindi,

Aseeh vya kale ni dhahabu ina bring back memories miaka ya 2010 kurudi nyuma ......

Aseeh tumezeeka,
 
Hapo umenena madini matupu mkuuπŸ˜‚πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…