Rose Muhando: Safari ya mateso, huzuni, furaha hatimae ushindi

Hivi ndivyo wote tunatakiwa tuishi. Tuwe na mtazamo chanya kuhusu watu wa imani tofauti na sisi.

Imagine kwenye post kama hii mtu anaonyesha chuki ya wazi kwa Rose, sio kwa sababu amewahi kumkosea bali kwa sababu amechagua kuwa imani tofauti na yeye.
 
Nafikiri uko kwenye evolution stage.unatoka kwenye dini unaelekea kwenye IMANI ambayo ndiyo msingi wa mahusiano.
Watu wanadhani katika dini tunapata imani,ila kumbe katika IMANI ndo tunapata dini.
Sote tungekuwa na mtazamo kama wako dunia ingekuwa sehemu salama kuishi.

Wengi wanaabudu dini na sio Mungu ndio maana utasikia Dini yangu inakataza na sio Mungu wangu anakataza.
 
Ama kweli wewe Ni shabiki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…