Rose Nungu (Munalove), akubali kupeleka msiba nyumbani kwa baba wa Patrick

Da'Mange kaumbuka tena mchana kweupee. Duh, eti oh mimi huwaga sikosei nasema Casto ni baba wa Patrick sijui nini. Sasa mama kasema baba wa marehemu ni nani.
Mtoto wa Casto mlezi Peter mbona habari ndo ziko hvyo...huyo mange hapa umemuonea tu

Watu wa mjini wote wanajua hvyoo..sema baba mlezi kaamua kuvimbaa
 
Ushindwe na ulegee!
 
casto akae kimya tu.... this too shall pass!!
Sana aangalie mchezo unavyoenda nakumbuka kisa cha wanawake wawili waliojifungua siku moja mmoja wa kwake akafa usiku alipoona vile akaenda kubadilisha mfu na aliye hai, mama wa mtoto aliye hai akajua kua wa kwake ndo yule mzima wakabishana mwisho wakaenda kwa nabii suleyman akawaambia km mnagombania mwana basi na huyu tumchinje yule wa kwake aliyekufa akakubali fasta achinjwe wakose wote,yule mwenye damu yake akasema hapana mpe mwenzangu!!

Mshindi akawa yule aliyesema asichinjwe..

Kwa hili sperms donors ni Casto ndo maana yuko kimya tu! Anajuta kwa nini alikataa na hakuna mtu mwenye maumivu km Casto
 
Mlokole feki tu!aliyeingia kwa kichaka cha kutaka mwanawe apone!
 
aisee yawezekana eee ,,,umeelezea vzr
 
Wameshindwa kudhibitika kwa PESA...

.... Sasa ni kipigo tu.. Kipigo tuh..

Hawana Ahsante hawa ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…