TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

Ulienda kumtembelea Nyau alivyopata ajali?
 
Sisi inatusaidia nn mtoto wa nyerere kufariki? Kuna wapigania uhuru kibao wamekufa hata hatuna habari nao. Upuuzi kwelikweli
 
Mtoto WA baba WA taifa amefia Dispensary alipolazwa kwa muda mrefu.

Nilimfundisha mwanae miaka ya nyuma kidogo maisha ya huyu mtoto WA Nyerere yalikuwa ya chini sana sana.
Sad. First family hakika ni kwa nini kama imetelekezwa? Wajue tu kuwa wanayofurahia sasa ni matunda ya baba wa Taifa hili. Hivi serikali huwa haihusiki na hizi familia? Mbona wengine mnapeana mansions siku Chache zilizopita? Inaniuma mno.
 
Hawa ndiyo binadamu. Yaani familia wanasali pia sana. Yaani sijui nisemeje.
 
Waambie tu kuwa iko paleee jirani na ........... Chemk hivi naye si alikuwa hapo? Japo haikutajwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…