TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

2nd wave, tuendelee kuchukua tahadhari!

RIP dada yetu Rose
2nd wave unaijua wewe? Ukiambiwa leta ushahidi juuu ya hilo utauleta? Tuache kuleta mzaha kwenye mambo yanayogusa nyoyo za wapendwa wa baadhi yetu lete be serious.

1st wave nayo mlitabiri kwamba tutaokota maiti mitaaani lkn holla, sasa mmeanza oooh 2nd wave
 
Hii picha ni ya Anna, ibadilishe tafadhali!
Bila shaka huyo ndiye Rose, huyo Anna kafanana sana na marehemu babaye....

Rose aliye na miwani, Anna wa kulia

gz2(2).jpg
 
Back
Top Bottom