TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

Umuofia Kwenu wana JF,

Kheri ya Mwaka Mpya!

Mtoto wa mwisho wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Rose Nyerere amefariki leo mjini Dar es salaam.

Taarifa za duru za uhakika zinaarifu kuwa Rose amefariki katika hospitali ya Mzena Jijini DSM ambako alilazwa kwa muda mrefu. Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihidimiwe.

View attachment 1665128

KK,
MINJINGU.
Huzuni kubwa sana kwa taifa.

But..... hospitali ya Mzena? Ndiyo kwanza naisikia leo, nadhani ina maspeshalisti waliobobea ndiyo maana hata member wa former first family alipelekwa huko!
 
Back
Top Bottom