TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

Ni ROSE NYERERE AU NI JOHN NYERERE?
AU WOTE WAMEFARIKI?

KWANINI MTU KAMA HANA UHAKIKA NA HABARI YAKE ASIIPOSITI KWANZA HADI APATE UHAKIKA?

HARAKA YA NINI??
 
Well said... Rose was very humble, kwa tunaomfahamu hakuwa na makuu, R.I.P[emoji1317]
Mme wake alishafariki,alikua anafanya kazi Tanesco,watoto ndiyo anao!! She was very humble,very cool,she was kama sio mtoto wa Nyerere, No makeke kabisa kama kina Rizimoko
 
Inasikitisha kuona hakuna hata anaye jali basi haina shida pumzika kwa amani Rose .
Wabongo hua mna matatizo sana kichwani,hakuna anayejali kweni wewe ni mwana familia na hauoni ndugu wote wanajali msiba? Hapa unataka kuja na nyimbo za kulaumu serikali,ifanyeje sasa? Kweni wamesha zika?

Katibiwe Milembe wewe
 
Back
Top Bottom