Kwa maelezo ya rose yanathibitisha vipimo vimeisha muda wakeHiyo inapigika chenga vizuri kabisa mzee na usije ukadhani serikali hapo itatoa jibu kwamba vipimo viliisha mda wake hilo sahau
Hapo lazima mrekodi video zigo limuamgukie aambiwe alikuwa na ugomvi binafsi baada ya kukataliwa kimapenzi na vipimo alivyo ambiwa avitumie havikuwa vimeisha mda wake
"Mtu akikukataa kimapenzi usimfanyie hivyo mapenzi ni hiyari, ninyi ni timu moja"
Hayakuhusu,Wewe umeajiriwa?
Au umeajiri Watu?
Siri yenyewe ni kuua watu? NehiHuyo jamaa kavunja masharti ya mkataba yanayotakiwa utunze siri za kazi yako
Kwa maelezo ya rose yanathibitisha vipimo vimeisha muda wake
Siri yenyewe ni kuua watu? Nehi
Hayakuhusu,
Mapenzi yanaleta balaa hapa "ndimu ndimu tu" James banaππMaelezo ya James Getogo ndio yanathibitisha hilo. Hakuna sehemu Rose amesema vifaa vimeisha muda wake. Isipokuwa amesema matumizi ya hivyo vifaa huwa vinatumika Kwa wajawazito
Rose sio MTU wa maabara wala hahusiki na mambo ya vipimo na vifaa.
Hata maneno ya rose yatamponza, mtumishi hufai kuwa na kauli zile hata ukikwazwaMkuu nadhani haujafuatilia sakata zima namna lilivyokwenda.
Embu angalia hiyo video ya sakata kisha sikiliza video ya Ummi, mganga mkuu pamoja na mwanamke fulani mweny cheo hapo hosipitalini.
Ukishawasikiliza wote hao ndiyo utagundua stori na namna ya kubalansi maelezo ya pande zote.
Mimi nimeona kama mchezo mchafu huo uliandaliwa na mtu wa maabara kwa nia ovu.
Sitetei uozo wao isipokuwa yule boss wao wa kike aliyelitolea ufafanuzi sakata hilo, kasema expiry yake ipo ndani ya muda wa kutumika mpaka mwezi April na ni kawaida ya dawa zote kutotupwa siku hiyo hiyo ya expire iliyoandikwa kwenye kifungashio, huwa kuna muda wa mbele kitaalamu wanaoujua wafamasia.
Na kwamba walikubaliana kuendelea kutumia ili isije ikafika tarehe ya mwisho kabisa waka destroy.
Kwa hiyo huyo mfamasia anaufahamu muongozo huo, sasa kwanini aende kuvimba dirishani akizikataa dawa hizo kwa staff mdogo kabisa asiye na mamlaka yoyote?
Halafu tusi la nyo nyo nyo ni la kiuhawara zaidi, watani au ni kwa watu wanaodharauliana sana na kutafutiana kuharibiana.
Mwisho wa sakata hili waweza kuwa ni wa aibu kwa Lab tech aliyerusha.
Fala kweli wewe, haimuhusu vipi wakati hujui ni nani aliyekuwa anaenda kupimwa? Labda ni mke wangu je? Kiazi weweNdio maana hata wewe unajadili mambo yasiyo kuhusu.
Hii ni ishu ya waajiri na walioajiriwa. Wao ndio wanajua Muktadha wa kinachoendelea.
Wewe isiyokuhusu ndio huelewi A wala BA.
Hata maneno ya rose yatamponza, mtumishi hufai kuwa na kauli zile hata ukikwazwa
Aende wapi wakati rose anagongwa na wakina DMO?James hana maadili ya utumishi wa umma mana Kuna ngazi ya uongozi kama kuna jambo haliopo sawa angelipeleka huko ila hatua ya yeye kurekodi ubishani baina ya yeye na mtumishi mwenzake anatakiwa afukuzwe kazi mala moja maana ametengeneza taharuki isiyo ya lazima.
Huna lolote unamtetea mchaga mwenzioAtapewa Onyo tuu!
Lakini huyo James Getogo ndio kazi yake ni ngumu kidogo.
Kujibishana ndani ya maofisi ni kitu cha kawaida Sana.
Hasa Kwa watu wapuuzi kama James Getogo majibu kama Yale ndio yanafaa Watu Aina yake.
Unamuuliza Muuguzi ishu za vifaa yeye anahusikaje?
Alafu ni wanaume Wawili wapuuzi wanamuandama Mwanamke, ajabu Sana Hii.
Kuna wanaume wengine wanatutia aibu Sana
Fala kweli wewe, haimuhusu vipi wakati hujui ni nani aliyekuwa anaenda kupimwa? Labda ni mke wangu je? Kiazi wewe
Huna lolote unamtetea mchaga mwenzio
Aende wapi wakati rose anagongwa na wakina DMO?
Rose ndio anatoa mzigo kwenda maabara, alipaswa yeye agomee mzigo kuwa umeharibika,Sasa Kama anapikwa Mkeo au Mama yako au wewe mwenyewe, Rose kama Muuguzi anahusikaje? Hiyo ndio hoja.
Rose sio MTU wa maabara.
Rose sio incharge
Sasa niambie Rose anahusikaje kwenye vipimo vya MKE wako au wewe mwenyewe Kwa scenario ya Ile video?
Unajua majukumu ya Muuguzi?