Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

Hiyo inapigika chenga vizuri kabisa mzee na usije ukadhani serikali hapo itatoa jibu kwamba vipimo viliisha mda wake hilo sahau

Hapo lazima mrekodi video zigo limuamgukie aambiwe alikuwa na ugomvi binafsi baada ya kukataliwa kimapenzi na vipimo alivyo ambiwa avitumie havikuwa vimeisha mda wake
Kwa maelezo ya rose yanathibitisha vipimo vimeisha muda wake
 
Kwa maelezo ya rose yanathibitisha vipimo vimeisha muda wake

Maelezo ya James Getogo ndio yanathibitisha hilo. Hakuna sehemu Rose amesema vifaa vimeisha muda wake. Isipokuwa amesema matumizi ya hivyo vifaa huwa vinatumika Kwa wajawazito
Rose sio MTU wa maabara wala hahusiki na mambo ya vipimo na vifaa.
 
Mapenzi yanaleta balaa hapa "ndimu ndimu tu" James bana😂😂
JAMES KAMA MTUMISHI WA ENEO HUSIKA KWA NINI HUKUWAKILISHA TATIZO KWA UONGOZI HAPO KAZINI KWAKO?
"hamna kamati ndogo za utatuzi wa changamoto ndogo ndogo"
 
Mkuu nadhani haujafuatilia sakata zima namna lilivyokwenda.

Embu angalia hiyo video ya sakata kisha sikiliza video ya Ummi, mganga mkuu pamoja na mwanamke fulani mweny cheo hapo hosipitalini.

Ukishawasikiliza wote hao ndiyo utagundua stori na namna ya kubalansi maelezo ya pande zote.

Mimi nimeona kama mchezo mchafu huo uliandaliwa na mtu wa maabara kwa nia ovu.

Sitetei uozo wao isipokuwa yule boss wao wa kike aliyelitolea ufafanuzi sakata hilo, kasema expiry yake ipo ndani ya muda wa kutumika mpaka mwezi April na ni kawaida ya dawa zote kutotupwa siku hiyo hiyo ya expire iliyoandikwa kwenye kifungashio, huwa kuna muda wa mbele kitaalamu wanaoujua wafamasia.

Na kwamba walikubaliana kuendelea kutumia ili isije ikafika tarehe ya mwisho kabisa waka destroy.

Kwa hiyo huyo mfamasia anaufahamu muongozo huo, sasa kwanini aende kuvimba dirishani akizikataa dawa hizo kwa staff mdogo kabisa asiye na mamlaka yoyote?

Halafu tusi la nyo nyo nyo ni la kiuhawara zaidi, watani au ni kwa watu wanaodharauliana sana na kutafutiana kuharibiana.

Mwisho wa sakata hili waweza kuwa ni wa aibu kwa Lab tech aliyerusha.
Hata maneno ya rose yatamponza, mtumishi hufai kuwa na kauli zile hata ukikwazwa
 
James Gatego nina wasiwasi na uanaume wake.. tabia chafu sana ile
 
Me naona wazidi kurekodi zaidi maana watasimamia misingi afya ni uhai maana jambo dogo lina lina affect mwili
 
Ndio maana hata wewe unajadili mambo yasiyo kuhusu.
Hii ni ishu ya waajiri na walioajiriwa. Wao ndio wanajua Muktadha wa kinachoendelea.

Wewe isiyokuhusu ndio huelewi A wala BA.
Fala kweli wewe, haimuhusu vipi wakati hujui ni nani aliyekuwa anaenda kupimwa? Labda ni mke wangu je? Kiazi wewe
 
Hata maneno ya rose yatamponza, mtumishi hufai kuwa na kauli zile hata ukikwazwa

Atapewa Onyo tuu!
Lakini huyo James Getogo ndio kazi yake ni ngumu kidogo.

Kujibishana ndani ya maofisi ni kitu cha kawaida Sana.
Hasa Kwa watu wapuuzi kama James Getogo majibu kama Yale ndio yanafaa Watu Aina yake.

Unamuuliza Muuguzi ishu za vifaa yeye anahusikaje?
Alafu ni wanaume Wawili wapuuzi wanamuandama Mwanamke, ajabu Sana Hii.
Kuna wanaume wengine wanatutia aibu Sana
 
James hana maadili ya utumishi wa umma mana Kuna ngazi ya uongozi kama kuna jambo haliopo sawa angelipeleka huko ila hatua ya yeye kurekodi ubishani baina ya yeye na mtumishi mwenzake anatakiwa afukuzwe kazi mala moja maana ametengeneza taharuki isiyo ya lazima.
Aende wapi wakati rose anagongwa na wakina DMO?
 
Atapewa Onyo tuu!
Lakini huyo James Getogo ndio kazi yake ni ngumu kidogo.

Kujibishana ndani ya maofisi ni kitu cha kawaida Sana.
Hasa Kwa watu wapuuzi kama James Getogo majibu kama Yale ndio yanafaa Watu Aina yake.

Unamuuliza Muuguzi ishu za vifaa yeye anahusikaje?
Alafu ni wanaume Wawili wapuuzi wanamuandama Mwanamke, ajabu Sana Hii.
Kuna wanaume wengine wanatutia aibu Sana
Huna lolote unamtetea mchaga mwenzio
 
Fala kweli wewe, haimuhusu vipi wakati hujui ni nani aliyekuwa anaenda kupimwa? Labda ni mke wangu je? Kiazi wewe

Sasa Kama anapikwa Mkeo au Mama yako au wewe mwenyewe, Rose kama Muuguzi anahusikaje? Hiyo ndio hoja.

Rose sio MTU wa maabara.
Rose sio incharge
Sasa niambie Rose anahusikaje kwenye vipimo vya MKE wako au wewe mwenyewe Kwa scenario ya Ile video?

Unajua majukumu ya Muuguzi?
 
watanzania tuna jisahau sijui ama ndo ujuvi mwingi
kwamba jamaa angepeleka ngazi za juu kwa maamuzi, sijui angesema vikao vya asubuhi daaah yaani tunasahau kabisa menejiment zetu zilivyo zimejaa mapungufu kibao wata amua nini cha maana tena unakuta wao ndio wameuza dawa zilizo kwenye muda wa matumizi na kuleta dawa/vipimo vilivyo isha muda

alafu ndio ukashtaki, hizi menejiment ambazo mkuu wa idara anamkura mfanyakazi na ww ukamshtaki hahahaha watanzania bwana.
 
Sasa Kama anapikwa Mkeo au Mama yako au wewe mwenyewe, Rose kama Muuguzi anahusikaje? Hiyo ndio hoja.

Rose sio MTU wa maabara.
Rose sio incharge
Sasa niambie Rose anahusikaje kwenye vipimo vya MKE wako au wewe mwenyewe Kwa scenario ya Ile video?

Unajua majukumu ya Muuguzi?
Rose ndio anatoa mzigo kwenda maabara, alipaswa yeye agomee mzigo kuwa umeharibika,
 
Back
Top Bottom