Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

2017
Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally
Kakurwa.

Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group. Rostam anapigwa mkwara anakomaa.

2018
Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape kufanya kampeni mwaka 2015 inakamatwa na kurudishwa ofisi za CCM, Nape alishajimilikisha gari hilo utadhani CCM ni mali yake.

October 31 DSM
Mdogo wake Rosta Aziz aitwae Akram anakamatwa maenep ya Oyterbay na kufunguliwa kesi ya kuhujumu uchumi, kutakatisha pesa, kukamatwa na nyara za serikali, kukamatwa na risasi na bunduki, nyama ya nyati, pembe za ndovu kadhaa,jumla mashtaka 75.

Nov 13, 2018 DSM
Rais Magufuli anakutana na Rosta Aziz Ikulu,nwalichojadili sasa. Anakabidhi Chanel Ten kwa CCM kimya kimya.

Dec 22, 2018 DSM
Mahakama ya hakim mkazi kisutu inamuhukumu Akram Aziz kifungo cha miaka 20 jela au kulioa faini milioni 259.5, pesa inaenda kuchukuliwa fasta na anaachiwa huru.

February 2019 tunatangaziwa kuwa Chanel Ten na Magic FM ni mali ya CCM.
Dec 22, 2018 DSM
Mahakama ya hakim mkazi kisutu inamuhukumu Akram Aziz kifungo cha miaka 20 jela au kulioa faini milioni 259.5, pesa inaenda kuchukuliwa fasta na anaachiwa huru.[emoji2827]
 
Nikikumbuka Hilo tukio Kuna mama mmoja Alikuwa Ghorofani na ilikatazwa mtu yoyote kukaa Gorofani mama wa watu bila kujua akanyoshewa SMG.

Baada ya sekunde mama alishindwa hata kulala chini baadala yake Aliishia kujikojolea ghafla.

Masikini yule mama Hadi Leo namkumbuka.

Siku ya makabidhiano lilimwagwa jeshi pale zaidi ya wanajeshi askali usala 500.
 
Unaweza kucheka kama mazuri vile,pole yake huyo mama
 
Mwendazake hakuwa mwema kama ambavyo asilimia 99 ya viongozi wa WADANGANYIKA walivyo. Wanatofautiana madhambi tu, huyu mzinifu, huyu mshirikina, huyu muuaji, huyu mwizi, lakini wote ni watendaji dhambi.

Kumsema saana marehemu haiipi danganyika maendeleo, nguvu hizi tuongeze kwa bimdashi akili imkae sawa, nae asitende makosa yale yale kwa namna nyingine.
Tunaongea kusudi hasije mwingine akafanya ushenzi kama ule
 
Back
Top Bottom