Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

Dec 22, 2018 DSM
Mahakama ya hakim mkazi kisutu inamuhukumu Akram Aziz kifungo cha miaka 20 jela au kulioa faini milioni 259.5, pesa inaenda kuchukuliwa fasta na anaachiwa huru.[emoji2827]
 
Nikikumbuka Hilo tukio Kuna mama mmoja Alikuwa Ghorofani na ilikatazwa mtu yoyote kukaa Gorofani mama wa watu bila kujua akanyoshewa SMG.

Baada ya sekunde mama alishindwa hata kulala chini baadala yake Aliishia kujikojolea ghafla.

Masikini yule mama Hadi Leo namkumbuka.

Siku ya makabidhiano lilimwagwa jeshi pale zaidi ya wanajeshi askali usala 500.
 
Unaweza kucheka kama mazuri vile,pole yake huyo mama
 
Tunaongea kusudi hasije mwingine akafanya ushenzi kama ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…