Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

Hadi leo sijawahi jua wanaogopa nini hadi kujaza mibunduki
Kuiga tawala za kikoloni wakatugawanya na kutengeneza chuki kati ya raia na viongozi....wanasahsu sisi ni wananhi wao na mwisho wa siku wanakuja kutupigia magoti wakiomba kura...lakini wakipata ghafla wanajeuka lulu na kuanza kulindwa hadi na mahelicopter... enzi za utawala wakichief ilikua ruksa kwenda kwa chief kumueleza shida zako...na huu ndo ulikua uafrica
 
Sahivi wanashindishwa na NEC
 
Mzee tupe nondo, inaelekea una story nyingi sana za ndani za yule mwamba
Kuna story yake nimeipata nikamuonea huruma na nimemsamehe kutoka moyoni,hata mi ningekuwa kama yeye,sitamsema tena vibaya
 
Kuhongwa chanel ten sio ufisadi?
 
plea negotiation kibongo inasaidia matajiri kuliko maskini yani unaweza fanya kosa huku una mtaji wa kulipa kosa.
 
plea negotiation kibongo inasaidia matajiri kuliko maskini yani unaweza fanya kosa huku una mtaji wa kulipa kosa.
Kabisa mkuu sasa masikini unaweza kukosa cha ku offer
 
Rostam ni jambalika la majambalika ...hata hapa jf kesha anza kuingia kufanya yake ..kama mmiliki wa jf akiwa dhaifu basi jf itakuwa ni toilet paper ya wahuni wa ccm
 
Jamii forum ina watu wa hovyo sana siku hizi. We kwa akili unaamini Magufuli alikufa kwa Corona?
Kikubwa alikufa tu,kilichomuua wanajua wachache sana
 
hawa mabingwa uliowazungushia si ndo walikuwa wanatembea na begi la hela la mzee akiwa ziarani... maisha yanakwenda kwa kasi mno.
Wamekula sana bata za per diem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…