Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Ukiona mwanaume anamsifia sanaa mwanaume mwenzie...ujue hapo baasi
 
Caspian alikuwa na kandarasi ya uchimbaji mgodi wa GGM , Mwadui (Wilson diamond mine), alipewa kandarasi mradi wa Kinyerezi na kampuni ya Toshiba na pia mgodi wa Barrick gold - Kahama. Staff wanalipwa vizuri. Naona ni Mtanzania zaidi kuliko Muajemi
Sahihi
 
Yeah ni kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…