Rostam Aziz ana pesa, ni tajiri namba 1 Bongo, tuache wivu

Habari za tajiri muulize maskini 🏃🏃
 
Jamaa lina mihela sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kumbe Kanunua hivi vi cassena single engines vinatumika kumwagilizia pembejeo kwenye mashamba makubwa ya ngano? Pia vilikuwa vinamwagilia pesticide kuua nzinge. Mbona hata matajiri wengi uchwara kina vunjabei wanaweza kuvinunua tu kwa wingi?
Mkuu tuache wivi bhana! Vunjabei hana jeuri hiyo
 
Ukiona mwanaume anamsifia sanaa mwanaume mwenzie...ujue hapo baasi
Eti eeh? Sikujua hili, ila nikukumbushe tu. Ukweli hauna spare. Ni kweli ana pesa. Hata wewe ukiwa nazo watasema TU! Siku utakapotoka kuwa broke utajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…