Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

Ok ila pale kijiweni kwetu wanamfahamu kama mwenye asili ya Iran na ana mahusiano na taasisi za kunusanusa za kibeberu.
 
kumbuka wewe umekaa nyumbani, jamaa wameleta mtaji, wanarun operation, wanatafuta wateja, wanabeba hasara nk... at the end ukiwa nyumbani unakula zako gawio la 25%
Kumbuka haya sio mahindi kwamba utapanda yakiisha, this are non renewable wakimaliza ni kubaki na mahandaki..., kina Chief Mangungo wa Msovero wangeamua kuanza kuyachimba kwa kasi kipindi kile kwa kupata percent za kishikaji hapa tungekuwa tunaongelea mahandaki ya Tanzania na pesa iliyopatikana waliyokula wote tumeshawazika (nothing sustainable has been done)

In short tulivyokuwa tunasubiri tupate akili ili tuweze kuanza kutumia hizi resources zetu kwa faida zetu ni kwamba akili hizo bado hatujazipata...
 

na tukiendelea kusubiri huko mbele almasi nayo inaweza kuwa haina dili pia..tukabaki nayo tunacheza mdako...
 
Tanzania hamna uraia wa kuzaliwa
 
Harvard...sio Oxford
 
Hawa watu ndio wanaila Tanzania kwa kigezo cha "watanzania wenye asili ya Asia nk" wanapata mitaji na boost kutoka kwa wenzao walioko huko ughaibuni, wanapenya ndani ya mifumo na kupewa kipaumbele kama wazawa huku wakihonga weusi wenzetu pesa mbuzi na kuiteka nchi....wanainner circle zao za siri kurun game locally and internationally, ukiwagusa lazima uyumbe maana wako nyuma ya weusi wenzetu wanaoamini kwenye mali kuliko utu wa mtanzania..
 
Una uhakika gani hao wazawa nao hawatoroshi kimyakimya kwenda huko South Africa? Pale mirerani ni wazawa watupu Ila kila leo wanatorosha Tanzanite kwenda kenya
 
Safi sana

Sisi tuendele kulalamika na kuminyana

Ova
 
Sisi tunakwama wapi kuwa Kama wao au zaidi?
 
Rostam ni muirani kwa taarifa yako
 
Kinachoendelea sasa ni looting of our national resources.

Through the so called investments.

Asipotokea mtu kusimama kidete we are all done.
 
Huyu jamaa anatisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…