Rostam Aziz anunua asilimia 31.5 ya Williason Diamonds (Mwadui)

Ukweli ni kwamba serikali za huko zimeweka pesa kwenye uchimbaji
 
Akili tutazipata lini maana mwl jk alikataa kwasabb hatukua bado na wataalam
Hawa jamaa wakiacha kutumia haya madini ss tunapakuyapeleka?
 
Kuna uwezekano mababu zake wapo kwenye ardhi ya Tanganyika kitambo kuliko mababu zako.

Kuna wa-asia bongo wapo kitambo kuliko wabongo weusi.
Tena sio wapo tu na picha za udhibitiisho wanazo
Mtz ukimuambia akupe picha ya baba wa babu yake wengi hawana wanakupa maneno tu
Lkn wahindi hapa tz anakuonesha tangu walipokuja kipindi cha giza uko
 
uko sahihi.... japo huwa ni kweli madini yanatoka mgodini na either ndege au helicopter chini ya uangalizi wa vyombo vyote vya serikali kwa maana ya TRA na TMA na ndugu zetu polisi wakiimalisha ulinzi....binafsi sifahamu zile ndege au helicopter zikibeba zinatua wapi...

Zamani migodi yote ilibeba kwa ndege ila baada ya wizi wizi, ikawa ni helicopter inatua direct plant karibu na gold room na kuchukua mali...
 
Hapo botswana baba wa taifa hilo alikaa vizr na mwingereza awali wakapanga win win situation
Huku watu walikataa mpaka watu wao wapate ujuz ndio hapo naona mattz yalipoanzia
 
Hapo botswana baba wa taifa hilo alikaa vizr na mwingereza awali wakapanga win win situation
Huku watu walikataa mpaka watu wao wapate ujuz ndio hapo naona mattz yalipoanzia
Wala hiyo sio sababu, kipindi wanakuja viongozi walihongwa wakawaachia kila kitu.
Botswana wana viongozi wenye akili tokea mwanzo waliweza kuwadhibiti na waliweka vipengele vizuri ndio maana hadi sasa wanaweza kurekebisha mikataba yao yenye madini
 
Hata Tanzania ilikuwa na hisa ya 49% katika mgodi huo wa Mwadui enzi za Mwalimu, lakini baadaye serikali ikawauzia makaburu hisa zake na kubakiza 25%.
 
Kinachoendelea sasa ni looting of our national resources.

Through the so called investments.

Asipotokea mtu kusimama kidete we are all done.
Kinachotokea sasa kivipi wakati hao Petra Diamonds wanamiliki hizo hisa kwa miaka kadhaa?! As long as Petra walikuwa wanamiliki hizo hisa, huwezi kuwazuia kuuza kwa sababu ni mali yao!!

Jambo la kuhoji ni ikiwa imelipwa Capital Gain Tax.
 
Hapo botswana baba wa taifa hilo alikaa vizr na mwingereza awali wakapanga win win situation
Huku watu walikataa mpaka watu wao wapate ujuz ndio hapo naona mattz yalipoanzia
Una Uhakika na unachosema ?

Kipindi cha Mwalimu Serikali ilikuwa inakula kiasi gani ?, Wafanyakazi huko walikuwa wanapewa marupurupu kiasi gani, na maisha ya Mwadui yalikuwa vipi ?, Ulizia watu waliokuwa wanafanya kazi huko watakwambia..., Mwadui wafanyakazi wao na maisha ya kule yalikuwa among Cream de la Cream ya maisha mazuri Tanzania
 
Kinachotokea sasa kivipi wakati hao Petra Diamonds wanamiliki hizo hisa kwa miaka kadhaa?! As long as Petra walikuwa wanamiliki hizo hisa, huwezi kuwazuia kuuza kwa sababu ni mali yao!!

Jambo la kuhoji ni ikiwa imelipwa Capital Gain Tax.
Unadhani baada ya hiyo miaka kadhaa wakiondoka watakuwa wameacha percent ngapi na hio percent iliyobaki itahitaji resources kiasi gani ili kuipata ?

Au watatuachia Makumbusho kwamba hapa kwenye haya maandaki once kulikuwa na one of the richest diamond mines (ukiulizwa ulipata nini na huo utajiri kama taifa na uliufanyia nini...) nadhani itabidi ubadilishe topic na kuanza kuongelea mengine kama yapo...
 
uko sahihi.... japo huwa ni kweli madini yanatoka mgodini na either ndege au helicopter chini ya uangalizi wa vyombo vyote vya serikali kwa maana ya TRA na TMA na ndugu zetu polisi wakiimalisha ulinzi....binafsi sifahamu zile ndege au helicopter zikibeba zinatua wapi...

Zamani migodi yote ilibeba kwa ndege ila baada ya wizi wizi, ikawa ni helicopter inatua direct plant karibu na gold room na kuchukua mali...
 
Baada ya miaka kadhaa kivipi wakati ni mgodi wenyewe ndio hadi sasa tayari una miaka kadhaa?!

Kwanza ukisikia risk taking ndo hiyo kwa sababu huo mgodi una almost 80 years, na ndo maana am not surprised kuuza 31.5% of shares kwa $15Million!

Huo mgodi tulishapoteza kitambo!!

Btw, what's your point?!
 
you deserve that alias name of Samurai 👏🏿
 
Mimi sielewi model ya Botswana tuwekee hapa tuilinganishe apples by apples
 
Shikamoo Rostam Aziz. Kipekee nakusifu sana maana hata baada ya kujiuzuru ubunge na kuhama nchi kidogo, bado mambo ni bulibuli. Unatukimbiza na unawakimbiza zaidi waleeeeeeeeee
 
Suala sio wafanyakazi wanalipwa kiasi gani
Maana hata ss hv huko migodini watu wanalipwa vzr tu
Hapa tunazungumzia taifa kwa ujumla je linapata kile kinacho stahili
Ndio unakuja kuona baada ya mwanzo kujifanya wajanja kutaka mzani uegemee upande mmoja wajanja wakatumia njia za panya kurubuni wachache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…