Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Utamsikiliza bwege kma wewe, siyo mimi ninayejitambua.
Na waTanzania kwa ujumla wetu siyo mabwege, kama mnavyojitambulisha nyinyi mliorukwa na akili.
Wewe ni maskini siwezi kujali porojo zako, unadhani tunakula kujitambulisha kwako au pesa? 🤣🤣
 
Wewe ni maskini siwezi kujali porojo zako, unadhani tunakula kujitambulisha kwako au pesa? 🤣🤣
Umaskini wangu nikiwa na akili timamu unayo thamani kubwa sana kuliko utumwa wako na akili mbovu uliyo nayo kichwani.
 
Mnyamwezi wa Igunga Tabora

Ndiyo mbunifu alieifanya serikali kuanzisha mfumo wa Bima ya Afya

Mwaka 1995 akiwa mbunge wa Igunga alianzisha mfumo wa Bima ya Afya, mkapa aka copy kwake na kuuingiza serikalini.

Wewe mzalendo umefanya nini kwa Tanzania?
Yeye mwenyewe ali-copy. Bima ya afya was introduced by developed countries way back. Punguza ujuha fikirisha ubongo wako!
 
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.

Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"

Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.

Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains ā€œKulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumiā€ (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).

Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo

(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).

View attachment 2662260
ENOC Group, a leading integrated global energy player, and Tanzania’s Ministry of Energy (MoE) today signed a Memorandum of Understanding (MoU) to develop a national import gateway and world-class storage facility for oil & gas products to serve the country as well as the Eastern and Central Africa region. The partnership is in line with the UAE's 2023 key priorities to expand economic partnerships in Africa and supports the Dubai Economic Agenda of doubling the size of the Emirate’s economy over the next decade.

The agreement was signed by His Excellency Saif Humaid Al Falasi, Group CEO at ENOC, in the presence of His Excellency January Yusuf Makamba, Energy Minister of Tanzania.
 
Attachments

  • 92D332EA-15BF-4657-90B7-1D62C7E5A1C9.jpeg
    92D332EA-15BF-4657-90B7-1D62C7E5A1C9.jpeg
    23.3 KB · Views: 1
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.

Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"

Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.

Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains ā€œKulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumiā€ (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).

Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo

(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).

View attachment 2662260
Huyu Rostam ndiyo dalali wa hili jambo la DPW. Na haya yote anayofanya ya kuandaa midahalo kwenye media House mbalimbali ni kutaka kuhalalisha hili deal lake na ndiyo maana unaona hatulii. Ni kweli huyu bwana ni mfanyabiashara mkubwa lakini kwenye hili la DP ndiye dalali mkuu wa kuuza nchi
 
Back
Top Bottom