Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Mnyamwezi wa Igunga Tabora

Ndiyo mbunifu alieifanya serikali kuanzisha mfumo wa Bima ya Afya

Mwaka 1995 akiwa mbunge wa Igunga alianzisha mfumo wa Bima ya Afya, mkapa aka copy kwake na kuuingiza serikalini.

Wewe mzalendo umefanya nini kwa Tanzania?
Hahahahahaha ngoja tusubiri ajibu
 
Walianza na udini ila wakakwama mara uarabu sasa hawana pa kujipapasa na Bunge limeshapitisha watake wasitake DP-WORLD in the house
 
RA ni master! Ule mjadala wa jana ulikuwa well coordinated! Wachache sana waliitwa kimkakati kuupa uhalali mfano father Kitima lakini mpango ni kutetea mkataba wa DP.

Tunageuzana watoto sana. Sijui ilikuwaje mkutano kama ule akaitwa Lema badala ya watu wa Chadema wenye uwezo wa kuhoji maswali ya akili. Chadema ina brains kibao zingehoji kwa akili! Kubenea pekee ndio aliyehoji maswali magumu na hayakujibiwa kiufasaha.
 
Mungu Ibariki Tanzania!
Eee Mungu eeh, Ibariki Tanzania! Njoo huku!

CCM must go!

Pamoja na kuwa mkataba unawapa nyenzo na mamlaka Kampuni ya watu binafsi kuilazimisha Serikali ya Tanzania kufanya maamuzi magumu kama ya 'kuwataarifu' kuhusu hatua zezote zile Serikali itakayochukua, yaani.

Tanzania itaijulisha DPW juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo sasa na baadae.

Basi,sasa Wananchi nao kwa sauti moja, watoe na kuitaarifu CCM, kuwa nao, Wananchi watafanya maamuzi magumu na kuwapa taarifa kuwa CCM hawatachagilika hapo baadae.

Sasa, kwa muktadha huo, itakuwa sahihi kwa Wananchi wote waendelee kudumisha amani na utulivu, umoja na mshikamano, kwa kulinda Katiba.....na maadili na utamaduni zetu na rasilimali zetu kuwajulisha chama cha mapinduzi, kuwa fursa zezote zile walizobakiwa nazo na fursa zezote zile zitakazo kuwepo hapo baadae, kuwa, itawa taarifu Umma/Wananchi, kuwa ifikapo Tarehe itakayotangazwa na uwepo wa Uchaguzi, kuwa, kama Chama kilichopo madarakani, kuwa, kitatota taarifa kuwa Chama kipigiwe kura iwapo tu, kilisharudisha Mkataba bungeni ujadiliwe kwa mapana na marefu, kwamba, kimeondoa vipengele tajwa na tata katika mkataba unaojadiliwa na mijadala yote nchini, na kuwa pia,kitaondoa wingu, jinamizi, laana , shetani, tandabuli la na hofu, waliouleta na kwa, manufaa ya Nchi na Wananchi wake, kuwa, limerudisha matumaini na matamanio ya wananchi kwa Serikali yake, kuwa, kinyume na hayo, kuwa, Mkataba wake na Wananchi utakoma kwa njia ya Kura.

Kwamba, Wananchi watapiga kura yao na kuwaondoa wote waliohusika kwa namna moja au nyingine kuchagiza mkataba hovyo kutokea Nchini kutoka madarakani.

Chagua kwa Uangalifu na Umakini mkubwa 2025.
Amani ikutandae
 
RA ni master! Ule mjadala wa jana ulikuwa well coordinated! Wachache sana waliitwa kimkakati kuupa uhalali mfano father Kitima lakini mpango ni kutetea mkataba wa DP.

Tunageuzana watoto sana. Sijui ilikuwaje mkutano kama ule akaitwa Lema badala ya watu wa Chadema wenye uwezo wa kuhoji maswali ya akili. Chadema ina brains kibao zingehoji kwa akili! Kubenea pekee ndio aliyehoji maswali magumu na hayakujibiwa kiufasaha.
Sioni tatizo lolote, wacha waitwe hao walioitwa. Jambo la msingi ni kwamba, ule mkataba wa hovyo wengi tunao, tumeusoma na kuuelewa, tuneona vile mwarabu alivyoruhusiwa kuja kututawala.

Kwa hili binafsi siwezi kutishwa na wakina nani walioitwa, ili eti wakaulize maswali mepesi kwa manufaa ya msaliti Samia, hawa hawawezi kufanikiwa.
 
Rostam kuongea juu ya mikataba inafikirisha kidogo. Naye ni sehemu ya wapigaji wa nchi hii...,asifanye tukafukua makaburi yake pindi akiwa mwanasiasa wa kijani
 
Sana,Sasa kati ya Ristam.na wewe unadhani nani atasikilizwa? 😁😁
Utamsikiliza bwege kma wewe, siyo mimi ninayejitambua.
Na waTanzania kwa ujumla wetu siyo mabwege, kama mnavyojitambulisha nyinyi mliorukwa na akili.
 
Back
Top Bottom