BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Alishatuona wajinga kupitilizaa. Haiwezekani asimame mbele na kutusemea sisi Wananchi asilia .Huyu ndiyo dalali mkubwa wa ufisadi wote wa nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishatuona wajinga kupitilizaa. Haiwezekani asimame mbele na kutusemea sisi Wananchi asilia .Huyu ndiyo dalali mkubwa wa ufisadi wote wa nchi
Aisee huyu Rostam huwa nahisi anatusema vibaya sisi Watz akiwa faragha na mke wake.
Kila penye ujinga anapenyeza neno
Wanajidai eti serikali isifanye biashara. Hivi kuendesha bandari ni biashara gani? Kutoza ushuru bandarini ni jukumu la serikali ili kupata mapato serikali. Tena tangu jadi bandari ni mali ya serikali au tuite dola. Hawa wanaotaka kufanya bandari biashara wanahatarisha uhuru na usalama wa nchi kwa kuwapa watu binafsi kudhibiti bandari zetu kama mali yao binafsi.Mwekezaji ambaye Mkurugenza katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Mnyamwezi wa Igunga Tabora
Ndiyo mbunifu alieifanya serikali kuanzisha mfumo wa Bima ya Afya
Mwaka 1995 akiwa mbunge wa Igunga alianzisha mfumo wa Bima ya Afya, mkapa aka copy kwake na kuuingiza serikalini.
Wewe mzalendo umefanya nini kwa Tanzania?
Aliiga nchi gani ulaya?Aliiga ulaya.
Hakubuni bali alianzisha mwenyew kwasababu serekali ya sisiem haikuwa na akili hiyo,Usiseme kabuni sawa?
Aya futa hiyo comment
Aliiga nchi gani ulaya?
Ulikuwa nae wakati anaiga?America,China na Japan
ingir hata google na uache uvivu
Ulikuwa nae wakati anaiga?
Hilo ndo jibu lako?Hovyoooo!
Hili jizi liambie liende likasemee hayo kwao Iran nyambaffMwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Hilo ndo jibu lako?
Kakojoe ukulele. Usiku saiviHovyooo tena!
Kakojoe ukulele. Usiku saivi
Mfyuuu, aje ajibu hoja za Tundu Lissu basi sio kutuletea utopolo hapa...Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Huyu jamaa ni mwarabu na ni mwizi papa wa fedha za watanzaniaMwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Ulaya mbona mbali sana,aliiga hapo South Africa kutoka kwa Mkaburu!!Aliiga ulaya.