Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Huyu ni mmoja wapo wa mashetani wanaoipa umaskini nchi yetu.

Katutia umaskini mno huyu fisadi papa.
 
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyamwezi wa Igunga Tabora

Ndiyo mbunifu alieifanya serikali kuanzisha mfumo wa Bima ya Afya

Mwaka 1995 akiwa mbunge wa Igunga alianzisha mfumo wa Bima ya Afya, mkapa aka copy kwake na kuuingiza serikalini.

Wewe mzalendo umefanya nini kwa Tanzania?
Nimeuza Bandari kwa Wakoloni wa Kiarabu
 
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.

Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"

Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.

Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).

Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo

(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).

View attachment 2662260
Hao wengine wamesemaje ? Nani aliefadhili mkutano huo? Kwani alifadhili au kuandaa? Nani anafanya maamuzi nchi hii
 
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.

Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"

Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.

Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).

Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo

(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).

View attachment 2662260
Huyu Hana sera wanaosifia hoja mfu kama hizi ni kama mwanaume anayejawa tamaa baada ya kumwona Binti mrembo bila ya kujua tabia yake na kesho humuua. Hivi Tanzania na Marekani wapi wanautambuzi wa haraka juu ya mambo ya mikataba? Na kama shida ni vifaa vya kupakia na kupakua mizigo wanashidwa vipi kuboresha ? Kama mwekezaji anashea na serikali wapi imewekwa katika Katiba mama ya mkataba? Kwanini amiliki aridhi yetu,anga na bahari zote? Kama uwekezaji so shida kwanini mwanasheria mkuu wa serikali hatoki hadharani na kuelezea au kufafanua vipengere vya mkataba huo kama Sheria na Katiba yetu inavyeleza? Au nchi Haina mwanasheria mkuu wa serikali? Kama yupo ipi kazi yake ? Hapo utagundua watu wavivu wa kufikiri ndo watakubali huu mkataba. Hii ni sawa na waziri wa mazingira aliyesema watu watumie nishati mbadala kupikia mahoteli yanayopikia watu chini ya 100 kisha wakatengeneza kabajeti ka Gase kadhaa vijijini kugawiwa badala ya kupunguza bei wengi waweze kununua unagawia wachache ukihisi Kuni azitatumika tena. NB Vijana tuache ushabiki katika maswala ya Taifa huna hoja Bora ukakaa kimyaa tu
 
Back
Top Bottom