inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Yeye babu zake wapi tabora tangu miaka 150+ iliyopita,wewe mrundi unayejifanya muha umekua mtanzania kwa muda gani!?Huyo kwao ni Iran!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye babu zake wapi tabora tangu miaka 150+ iliyopita,wewe mrundi unayejifanya muha umekua mtanzania kwa muda gani!?Huyo kwao ni Iran!
Mnyamwezi huyo, na ni Mtanzania kama mimi na wewe.Huyu ni kabila gani? Hana uraia nchi nyingine?. Haya ndo maswali ya wazalendo ajiandae kama anataka kuyajibu.
Unaonaje apewe na Mbowe?Ameshapewa nafasi ya kuunda kampuni ndogo nyuma ya DP.
Tuko kwenye Sensa, tokeni wote tuwahesabu wapiga mnada.Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Rostam ana hoja nzuri, asipuuzwe.....Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Rostam ,mkataba wa Williams Diamond kule shinyanga unaufahamu.Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Yupo sahih hasa anaposema huu mjadala umepoteza muelekeo na ndio maana suala la muungano limeibuka ghafula na linalazimishwa kwa nguvu kuwa sehemu ya huu mjadala...Rostam hana hoja.
..anajaribu ku-spin kwa kumlisha maneno Freeman Mbowe.
Yupo sahih hasa anaposema huu mjadala umepoteza muelekeo na ndio maana suala la muungano limeibuka ghafula na linalazimishwa kwa nguvu kuwa sehemu ya huu mjadala.
Kama sio muungano huo mkataba usingesainiwa.Yupo sahih hasa anaposema huu mjadala umepoteza muelekeo na ndio maana suala la muungano limeibuka ghafula na linalazimishwa kwa nguvu kuwa sehemu ya huu mjadala.
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Mwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.
Amesema kwa upande wake hana tatizo na mjadala wa Bandari lakini katika kufuatilia mjadala huo anachukizwa mjadala huo kuwa wa kishabiki na kuibua udini na ubaguzi "Unamuona kiongozi mkubwa anaanza kuzungumza Uzanzibar na Utanganyika"
Amesisitiza kuwa mjadala huo umekuwa ukijadiliwa kishabiki sana huku akidai kuwa Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana.
Ameyasema hayo katika mjadala unaendelea Serena Hoteli leo Jumatatu, ambao umeandaliwa na taasisi ya Media Brains “Kulinda na Kuendeleza Umoja wa Kitaifa Wakati wa Mageuzi ya Kisiasa na Kiuchumi” (Protecting and Promoting National Cohesion in Times of Political and Economic Reforms).
Baadhi ya washiriki katika mjadala huo ambao wanatarajiwa kutoa maoni ni Katibu wa TEC, Padre Kitima, Jenerali Ulimwengu, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Steven Wasira, Prof. Kitila Mkumbo
(Taarifa zaidi katika mjadala huu zitaenedelea kukujia).
View attachment 2662260
Tanesco yumo, madini yumo, gas yumo, mafuta yumo mungu atamakiza ugomvi wetu na wewe
Sasa vita imeingia ukurasa mpyaaaMwekezaji ambaye Mkurugenzi wa Taifa Group, Rostam Azizi amesema kuwa katika kuleta mabadiliko ya kiuchumi Nchi imekubaliana Serikali hisifanye biashara kwa lengo la kuongeza uwajibikaji na kuchochea maendeleo.