Rostam Aziz: Mjadala wa Bandari unajadiliwa kishabiki. Bandari kuendeshwa na wawekezaji ni jambo la busara sana

Hadi akina H.S.Singh na Patel watajitokeza kutoa maoni kipindi hiki!

Wapi Manji? Azim Dewji tayari tumemsikia.
 
Tuko kwenye Sensa, tokeni wote tuwahesabu wapiga mnada.
 
Rostam ana hoja nzuri, asipuuzwe.....

JokaKuu Mag3 Nguruvi3 Kalamu zitto junior
 
Rostam ,mkataba wa Williams Diamond kule shinyanga unaufahamu.

Hata hivyo mungu asipoamua ugomvi wako na watanganyika, tutaumia sana
 

Attachments

  • D662F1E8-2DBD-4371-926F-3F87CFFE61FF.jpeg
    51.3 KB · Views: 1
  • EE428C26-1CF8-4A5D-898A-A5836C9058D5.jpeg
    140.9 KB · Views: 1
..Rostam hana hoja.

..anajaribu ku-spin kwa kumlisha maneno Freeman Mbowe.
Yupo sahih hasa anaposema huu mjadala umepoteza muelekeo na ndio maana suala la muungano limeibuka ghafula na linalazimishwa kwa nguvu kuwa sehemu ya huu mjadala.
 
Yupo sahih hasa anaposema huu mjadala umepoteza muelekeo na ndio maana suala la muungano limeibuka ghafula na linalazimishwa kwa nguvu kuwa sehemu ya huu mjadala.

..kupoteza muelekeo wa mjadala ni uamuzi wa wanaojadiliana.

..na mfano mmoja ni yeye Rostam anapojaribu kumlisha maneno Mbowe kuwa amezungumzia Utanganyika vs Uzanzibari tu.

..yeye Rostam mbona hakuzungumzia mazuri na mapungufu ya makubaliano ya Dubai / DP na Tanganyika?
 
Yupo sahih hasa anaposema huu mjadala umepoteza muelekeo na ndio maana suala la muungano limeibuka ghafula na linalazimishwa kwa nguvu kuwa sehemu ya huu mjadala.
Kama sio muungano huo mkataba usingesainiwa.

Pili, waliosaini wote wametokea huko.

Tatu bado kuna kasheshe jingine la kusaini mkatabsa wa kms 2035 za barabara za lami kupitia EPC + F ambapo watu hawajui maana ya EPC+F , siku wakijua itakuwa shida kubwa.

Barabara km moja inajengwa kwa 2.5 bilion.
 


 
 
Sasa vita imeingia ukurasa mpyaaa

Kuna tuhuma wanaopinga DP world wamehongwa na matajjri wanaonufaika na bandari kinyemela.

Na hawa wanaokubali wamehongwa na DP World.


Shughuli ngumu bado
 
Wewe linda utajiri wako una vingi vya kupoteza ukisimamia haki.. wewe ni muhindi ni raia wa Tanzania lakini sio asili wewe ulipata cheti cha kuzaliwa kwasababu ulizaliwa hapa ila Wewe kiasili au naturally Wewe ni muhindi toka lini muhindi akamtetea mwafrika dhidi ya mwarabu. Pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…