Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
-
- #121
Kwa hiyo anaweza hata kubadili jina la kampuni??Zantel ndio Tigo; Kitambo kampuni mama ilishainunua..., Company mergers has been happening since begging of Time; Hata ulikuwa ukiweka line ya Zantel Bara inasoma mnara kwa Tigo
Umesahau Taifa gas Na Nation Media Group, chanja mbuga baba mpaka uwainspire wanaokereka.Tigo aka MIC group, Taifa gas, Primefuel, Caspian ltd, Hisa Mwadui diamond mine, Tancoal mine..... Mzee wa Caspian sea anachanja mbuga tu.....
Wanyonge tukomae tutoboe tuache kulialia....
Basi tutamsifia bwanaako bibieUuzwaji wa Makampuni napo kuna kumshukuru huyo bibi!
Emu acheni basi kumpa sifa ambazo hastahili
Inategemea makubaliano ingawa na amenunua nini...., sababu hapo lazima ufahamu more than infrastructure valuable asset ni brand (Tigo / Zantel) Sasa ukibadilisha hio na kuiita sijui jina gani huenda ukapoteza unless otherwise hio brand ingekuwa haifanyi vizuri hivyo ungebadilisha..., Ila in Tanzania Tigo ni big Brand it will not make sense kubadilishaKwa hiyo anaweza hata kubadili jina la kampuni??
wanaoleta mitaji kutoka nje ndio wanaokuza uchumi.Kuna siku uliandika kitu kizuri Sana kuhusu hawa watu kutoka Asia kwamba wanachofanya wanakusanya mitaji huko wanakuja kuwekeza kama wazawa wakati kiuhalisia wanatumia mitaji ambayo inatoka nje hivyo kutokuwa na mizania katika ushindani....
Leo naona umeandika hivi kwamba watanzania hatuna jicho la kuona fursa...
Kweli mwenzako akusanyiwe pesa za mafuta huko aje Nazo halafu wewe utegemee pesa ya kilimo cha jembe la mkono mnashindana vipi hapo.
Mr. Born town
Huna akiliBasi tutamsifia bwanaako bibie
voda aliiuzwa baada ya mdogo wake kushikiliwa mateka na bwana John wa chatoDuh! Voda aliuza mara kaibukia huku kwa hawa Kanjubai
Au sio, wafanyabiashara wote wapigwe marufuku, nchi ibaki ya wakulima na wafanyakaziHawazipatagi kwa uhalali! Wafanya biashara ni wanjajawajanja sana! Watu wenye akili kama Nyerere alishawaona kuwa ni matapeli
Tafuta helaTFCA inasema imelala muiache... The Cartel group is back - we have to relax!
Tafuta hela uache umbeyaNasikia 20% ya manunuzi ya zile ndege tulizonunua jamaa alipiga huo mkwanja kwa msaada wa vibwanyenye flani vya serikalini.
Kwenye mauziano Zantel itabaki itwa hivyo ila Tigo lazima itabadilikaKwa hiyo anaweza hata kubadili jina la kampuni??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Ni Kwenye Gari Unaambiwa Kaa Sawa Sawa Shikilia Vizuri Safari Imeanza Na Mwendo
Mkuu Lakini Tulishuhudia Airtel ikitoka from majina tofauti huko nyuma!!Inategemea makubaliano ingawa na amenunua nini...., sababu hapo lazima ufahamu more than infrastructure valuable asset ni brand (Tigo / Zantel) Sasa ukibadilisha hio na kuiita sijui jina gani huenda ukapoteza unless otherwise hio brand ingekuwa haifanyi vizuri hivyo ungebadilisha..., Ila in Tanzania Tigo ni big Brand it will not make sense kubadilisha
Na according to hii extract wameuza entire operations za Tanzania, kwahio nadhani wataendelea ku-trade under the same brand
Dar es Salaam 19th April 2021 – Millicom International Cellular S.A. (“Millicom”) the parent company of MIC Tanzania PLC (Tigo) and Zanzibar Telecom PLC (Zantel) announces that Millicom has signed an agreement for the sale of its entire operations in Tanzania (Tigo and Zantel) to a consortium led by Axian Group, a company based in Antananarivo, Madagascar.
Walifanya hivyo wakiwa na maana yao and if it makes business sense watafanya (huenda kipindi hicho walitaka kukwepa kodi) na hapa kama ita-make business sense huenda wakafanya, ila kwa haraka haraka unless kuna kitu behind the scenes Tigo ni brand kubwa na kama mtu hana ulterior motives it makes sense kuendelea nayo (ina following ya kutosha) na Zantel kwa Zanzibar ndio mpango mzima...Mkuu Lakini Tulishuhudia Airtel ikitoka from majina tofauti huko nyuma!!
Hama Nchi,naona una ID kibao bibieHuna akili
HIVI KWA HILI SEREKALI HAIPATI CAPITAL GAIN TAX.Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel
Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
View attachment 2177481