Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.
Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.
Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.