Rostam Aziz -Ni kundi la wanasiasa mafisadi wanaojiita wawekezaji

Rostam Aziz -Ni kundi la wanasiasa mafisadi wanaojiita wawekezaji

Azma ya mradi wa Gesi ya Songo Songo kuwekwa mikononi mwa waTanzania imetimia baada ya TAIFA GAS kampuni ya kizalendo ya kitanzania kuingia ubia na kununua hisa za ORCA mwezi April 2026

TOKA MAKTABA

2023 KUTAKA SONGO SONGO KUMILIKIWA NA WAZAWA

View: https://m.youtube.com/watch?v=-byLO8OeSbU
Songas is a leading Tanzanian gas-to-power company which generates 190 megawatts (MW) of electricity. Using gas from the Songo Songo gas reserves, Songas also processes and transports natural gas to other power generators and industrial customers.

Since 2004, Songas has been a strategic partner with the Government of Tanzania in meeting the growing demand for energy. Songas sells all the electricity it produces to TANESCO.

Mafia Rostam akisaidiwa na corrupt government ya Samia, rasmi wamekataa kuwapa mkataba wacanada na kulazimika kuuza kila kitu kwa Rostam Aziz kwa bei ya kutupa (one dollar net), subirini maumivu huyo mafia atauza umeme bei mara mbili, corrupt officials wote wa serikali wana share zao humo, hakuna utanzania ni wizi mtupu na rushwa kama Richmond, shamba la bibi 🤔
 
Acha hizo...

Tunaambiwaga humu Jamvini Ile Ofisi KUU ina Siri zote na haiwezi kubaki gizani, vp blaza hakuju?..
Kuna mambo mengi tuu yanayoendelea huku mitaani, yule mpangaji wetu wa ile nyumba yetu huwa hajui na hajulishwi, lakini watu tunajua!. Huwezi amini, hata uamuzi wa nani atakuwa rais wetu 2015, wakati jina lake linapitishwa, amini usiamini, yeye hakujua, huku watu tulijua, na tukajulisha wana jf! . GE2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli , muda wa kuchukua fomu ulipowadia, yeye akajichukulia tuu fomu yeye kama yeye, akijua ana beep tuu!, kumbe masikini wa watu, hakujua!, hivyo baada ya kuupata urais, akajijua urais huo ni wake, ameupata mwenyewe tuu kwa bahati yake, hivyo hana ubia na mtu yoyote!, see what happened to him!.

Hata huyu aliyepo, yeye anajua ni kudura tuu za Mwenyeezi Mungu kwa lile tukio la Machi 12 lililotangazwa Mach 17, akijua ni limejitokea tuu, kumbe hajua kuna watu walimkudurisha huyo YEYE toka 2017 Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Hivyo kuna vingi tuu vingine vizuri, vingine vibaya, yule mtu wetu havijui, ila watu wake wanavijua na wanamdanganya!.

Hata yule Blaza wangu, kuna vitu walimdanganya, tukajitahidi kumshika sikio ili asidanyanyike! Mkapa na Kikwete Walidanganywa na Wakadanganyika!, Magufuli Anadanganywa!, Jee Atadanganyika?, haikusaidia kitu, mwisho wa siku ... ndio vile tena!.

Huyu wa sasa ndio kabisa!, naomba nisiseme nisije...!
P
 
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!

Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.

Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.

Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Anatumika kama mbeba Mali za "mafisadi" wale waliotaka kujulikana kama Wana Mali kadha wa kadha na zilizopatikana Kwa njia isiyo rasmi.
 
Mafia Rostam akisaidiwa na corrupt government ya Samia, rasmi wamekataa kuwapa mkataba wacanada na kulazimika kuuza kila kitu kwa Rostam Aziz kwa bei ya kutupa (one dollar net), subirini maumivu huyo mafia atauza umeme bei mara mbili, corrupt officials wote wa serikali wana share zao humo, hakuna utanzania ni wizi mtupu na rushwa kama Richmond, shamba la bibi 🤔

Wameuza kwa US$ 10 Kampuni nzima kwa kufuatana na mkataba, masharti na vigezo kwa kampuni ya Taifa Gas na ile ya Amber

2020 March 19

Patrick Rutabanzibwa - The story of the discovery of gas on the Songo Songo field in Tanzania in 1974 by Julius Nyerere government

View: https://m.youtube.com/watch?v=iWGhhUhQIXU
Timeline
  • 1974 - Discovery of gas during Nyerere era
  • 1994 negotiation with Orca Explorations
  • Pan African Energy
  • Dry sweet gas
  • 16 pipelines
  • SONGAS, TANESCO
  • 39 Industrial consumers
  • Mnazi Bay to Dar es Salaam pipeline
  • Ubungo and Kinyerezi
  • Kurudisha kwa jamii Kisiwani Songo Songo mwani
  • PAN AFRICA ENERGY diversity
  • Staff Capacity building
  • Nov 4 2019 JPM afurahishwa wamiliki wa Taifa Gas kuwa Watanzania, ampongeza Rostam
November 04 2019
View: https://m.youtube.com/watch?v=0RtvdUiJKws
 
Ushauri wangu kwako ni tafuta pesa my friend, get rich or die trying!, kuna watu nchi hii usiwaguse!, sasa hivi utageuka ni ulikuwepo!.
Ni ushauri tuu!.
P
Mkuu, Ningeomba kufahamu wewe ni mwandishi habari za aina gani? Uchumi? Siasa? Sayansi? Elimu?, nini? Nauliza hivi kwa sababu waandishi wengi TZ munakosa elimu mama.

Kama ungekuwa na elimu mama, naamini unekwepa kosa kama hili unalofanya. Mijadala ya wazi kama hii tunaweka mambo yenye uelekeo chanya kwa watu wote/jamii. Mawazo binafsi uliyonayo, kama hilo la kuhanagika na pesa bila kujali zinatoka wapi, hilo ni lako moyoni. Hata kama utaamua kuwa shoga, hilo ni lako, lakini fahamu jamii haikupi nafasi ya maana.

Huyu Muungwana wako mwenye pesa yapo mengi nyuma yake na yanasikika mitaani. Mwingine anashauri eti fanya utafiti, nani kasema maisha yetu yanendeshwa na utafiti? Kama utaendelea na mawazo ya aina hii sijui kama utafamnikiwa kuacha kumbukumbu nzuri ya mawazo yako.

Au ni matokeo ya kutakiwa kupeleka ushahidi kwamba Waziri mkuu aliumia kutoshangiliwa? sasa unajipambanua kwamba uliteleza tu, lakini uko nao?
 
FRANCK ZANU - TUSILAUMU VIONGOZI, WAO WAPO KUANGALIA RAIA WANAFANYA UWEKEZAJI ILI WARATIBU

View: https://m.youtube.com/watch?v=eSggKitJxMM

Hii ya raia kuwa walemavu wa fikra kusema mama au bulldozer amejenga choo, barabara, madaraja, viwanda, ametoa ajira, maji ya bomba / mifereji / visima ni uongo mkuu anasema mchambuzi tata wa fikra za weusi kutegemea messiah / mwokozi / mtume kuja kuwaongoza kufikia nchi ya mafanikio

Maendeleo ya watu na vitu huletwa ni raia wenyewe ndiyo wenye kushika hatamu hiyo ya kufikia matamanio ya maisha mazuri kupitia kilimo, uvuvi, ufugaji, kuanzisha viwanda vidogo na vikubwa, biashara, ugavi, ugunduzi wa mitando madawa na zana za kufanya maisha yawe bora, mipango miji ardhi wapi wafugaji / wakulima wafanye shughuli zao bila bugudha

Viongozi wao ni mangimeza wa kuhakikisha juhudi hizo za raia mmoja mmoja au kama kikundi, sekta michezo yao inafuwa fair lakini kama kiongozi hawezi kujenga shule, viwanda n.k
 
Hata huyu aliyepo, yeye anajua ni kudura tuu za Mwenyeezi Mungu kwa lile tukio la Machi 12 lililotangazwa Mach 17, akijua ni limejitokea tuu, kumbe hajua kuna watu walimkudurisha huyo YEYE toka 2017 Pascal Mayalla alitabiri mwaka 2017 kuwa Samia atakuwa Rais wa JMT baada ya 2020

Hivyo kuna vingi tuu vingine vizuri, vingine vibaya, yule mtu wetu havijui, ila watu wake wanavijua na wanamdanganya!.

Hata yule Blaza wangu, kuna vitu walimdanganya, tukajitahidi kumshika sikio ili asidanyanyike! Mkapa na Kikwete Walidanganywa na Wakadanganyika!, Magufuli Anadanganywa!, Jee Atadanganyika?, haikusaidia kitu, mwisho wa siku ... ndio vile tena!.

Huyu wa sasa ndio kabisa!, naomba nisiseme nisije...!
P

kusema kwamba hakujua khs tukio la marchi its unlikely kwani haijawahi kutokea popote, kuanzia Kennedy wa USA na Johnson ambapo Johnson alijua mpango mzima na ndiyo maana alipoingia tu first thing ali undo mambo yaliyosabisha Kennedy kutwaliwa mpaka kwa hugo chavez na makamu wake rodririguez ambapo ni wazi sasa kila mtu anajua kwamba makamu wa chavez alim-snitch boss wake kwa USA na alikuwa anashirikiana nao ila yeye rodiriguez angalau ni smart kidogo hakuanza kurusha madongo kwa chavez alificha kidogo uhusika wake na hakuuonyesha moja kwa moja mbele ya kamera kama hawa wengine.
makamu wote ambao huishia kuchukua uraisi huwa wanajua a-z kinachojiri hata wanahusishwa in every step of the way na ndiyo maana utaona wakishachukuwa tu power kitu cha kwanza huwa wana undo maramoja yote aliyetwaliwa aliyafanya ambayo yaliwachukiza globalists.

rejea kumkejeli na kumsema kimafumbo kila apatapo nafasi mpaka USA mbele ya kamala akasema ni corona wakati huku waliatumbia ni moyo haya yote hayawezi kufanyika kama hakujua chochote, amedhalilishwa na kusimangwa sana baada yakufariki (kama alistahili au hakustahili masimango hiyo na mada nyingine) na yeye kama mkuu wa chama na serikali hakukemea popote kujaribu kumlinda ambapo ni kawaida kama mtu ulimfahamu ulifanya naye kazi akafariki ghafla akisimangwa angalau utamtetea na kusema chochote labda kama mimi nilimfahamu marehemu nimefanya naye kazi kwa miaka mingi blah blah lkn hakuwa hivyo, lkn hakulifanya hilo na kila alipopata nafasi alirusha vijembe ingawaje mtu alishakufa that tells a lot, hivyo huwa wanajua kinachoendelea, na hata ni sehemu ya op yote …
 
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!

Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.

Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.

Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Hivi wewe rostam aziz unamfahamu au unakurupuka tu kuandika? rostam ni tajiri wa kuzaliwa
 
15 April 2026
Kabwe, Zambia

MOHAMED ENTEPRISES YA TANZANIA BAADA YA KUPEWA KIWANDA ZAMBIA, WASUASA NA HIVYO UBIA SASA WAAAGUKIA MIKONONI MWA WABIA KUTOKA CHINA

15 April 2026
PRESIDENT Hakainde Hichilema has officially reopened Mulungushi Textiles in Kabwe, a joint venture with the People's Republic of China.

View: https://m.youtube.com/watch?v=lX5RlGBw4xk
Habari kwa kina :
Kiwanda cha nguo cha Mulungushi Textiles limited rasmi kimetoka mikononi mwa Mohamed Enterprises Limited kampuni ya kitanzania baada ya kusuasua kuanza uzalishaji nchini Zambia toka mwaka 2014.

Imeelezwa kusuasua huko kulitokana na masuala mtambuka ya kimkataba, kisheria na pia kisiasa kwa kiwanda hicho kuwa moja ya hoja za kubishania zilizotumiwa na vyama vya kisiasa nchini Zambia, hivyo kampuni hiyo ya kitanzania ya METL (T) LTD kushindwa kukifufua kiwanda hicho cha mfano kama kile cha Urafiki Textile ambacho kilikuwa cha ubia baina ya serikalibya Tanzania na China kilichozalisha bidhaa mbalimbali za nguo zitokanazo na zao la pamba.

View: https://m.youtube.com/watch?v=51sq-y6cwVk

Chinese firm eyes Mulungushi Textiles​

-
February 7, 2016

China-Africa Cotton Limited has expressed interest in revamping operations at the defunct Zambia China Mulungushi Textiles (ZCMT), where the company intends to process an annual 40,000 tonnes of cotton it grows in Eastern Province.

China-Africa Cotton is a joint-venture between the China Africa Development Fund, Qingdao Ruichang Cotton Industrial Company and Qingdao Huifu Textile Co, which invests in African cotton production.

So far, the company has invested in Zambia, Zimbabwe and Algeria, where it produces 40,000 tonnes of cotton per year from the 90,000 smallholder farmers it has engaged under out-grower schemes in Chipata.

In an interview on Monday after a Chinese business delegation visited the country to explore investment opportunities, Zambia Development Agency director general Patrick Chisanga said the Chinese cotton company is thinking of making Mulungushi Textiles operational.

The Kabwe plant has a ginnery, spinning, weaving and processing factories.

“Our discussions with them in this regard have advanced. China-Africa Cotton want to operationalise the plant [which is installed with almost every equipment required to process cotton into finished products] since they produce a lot of cotton in Zambia, Zimbabwe and Algeria.”

“We are looking at the best models of revamping the textile plant, and we want to lease it to them once negotiations are completed. The operations at the plant are labour intensive and this will result in job creation,” he said.

On how much China-Africa Cotton has pledged to invest, Mr Chisanga said: “Of course, they have pledged some huge amounts of money, which can be premature if I announce the figures right now…These guys [China-Africa Cotton] are serious and we want to engage them to create jobs.”

But ZDA insists that it has no record of the previous investor, Mohammed Enterprises Tanzania Limited, who was allegedly given the plant on lease in 2014 to revive the plant.

“We have no record of them, probably they could have pulled out…,” Mr Chisanga said.

INFO INDEPTH

Key details regarding the partnership:
  • Company Background: MeTL Group is a prominent Tanzanian conglomerate owned by the Dewji family, employing over 37,000 people regionally.
  • The Agreement: The partnership, named MeTL Mulungushi Textiles, was to revive the formerly state-run Chinese-Zambian joint venture to produce textiles and engage in cotton farming.
  • Operational Challenges: Shortly after the agreement, disputes emerged in 2015 regarding the effective date of the lease and handover of the facility, leading to stalled operations.
  • Legal Action: By late 2015, reports indicated legal conflict, with MeTL acting to stop the government from repossessing the plant despite the lack of operational activity.
  • Other Interests: Apart from textiles, the agreement included potential diversification into other agricultural activities.
Source : Times of Zambia
 
Unachoandikia kinaashilia ujinga tu! yaani amezaliwa na utajili! We bwege tu!
Unashangaa kipi? huyu kazaliwa baba yake tajiri,mimi nimecheza nae utotoni kule mwisi kwao,tena nikikuwa mkubwa kwa umri kwake.Nimemuona baba yake,na nimeliona duka lao hapo mwisi wilaya ya Igunga.Acha ujinga kama huelewi kitu uliza
 
Wewe ni bwege! Amini hivyo. Hata uandikaji wako unaonesha ni bwege.
 
Kwahiyo unakubaliana na hiyo hali?!
Unataka waendelee na mwenendo huo siku zote?!

Nasema wacha watumalize wazalendo tusiwaogope hawanmbwa wa sisiemu na mtandao kiujumla
PM ushauri wako ni wa kupotosha maadili ya nchi
 
Back
Top Bottom