Ushauri wangu kwako ni tafuta pesa my friend, get rich or die trying!, kuna watu nchi hii usiwaguse!, sasa hivi utageuka ni ulikuwepo!.Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Hance Mtanashati vipi hii video ishatolewa fafanuzi?!
Ushauri mzuri sna huuUshauri wangu kwako ni tafuta pesa my friend, get rich or die trying!, kuna watu nchi hii usiwaguse!, sasa hivi utageuka ni ulikuwepo!.
Ni ushauri tuu!.
P
Kwahiyo unakubaliana na hiyo hali?!Ushauri wangu kwako ni tafuta pesa my friend, get rich or die trying!, kuna watu nchi hii usiwaguse!, sasa hivi utageuka ni ulikuwepo!.
Ni ushauri tuu!.
P
KUNA HAJA YA KUTAFUTA NJIA NYINGINE ZA KULIKOMBOA TAIFA HILIYes, mara kwa mara utaskia kanunua hiki kanunua kile, lakini najua hayo manunuzi yake wapo wengine wanaomuwezesha, siku ikifika awamu ya huyu mama ikiisha, sitashangaa akianza kuuza vyote alivyovinunua.
Wanatumia mwanya uliopo serikalini kwa sasa kujilimbikizia mali ili mambo yakija badilika wataanza kuachia kimoja kimoja, ni kama madalali tu, wananunua leo ili wauze kesho kwa bei ya juu zaidi.
Bila kumwagana kinyesi nchi hii hawa wajinga wataendelea kuibaka hii nchi.KUNA HAJA YA KUTAFUTA NJIA NYINGINE ZA KULIKOMBOA TAIFA HILI
Ndipo tunapoelekea.KUNA HAJA YA KUTAFUTA NJIA NYINGINE ZA KULIKOMBOA TAIFA HILI
100%Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.
Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.
Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Armed struggle the only available solutionNdipo tunapoelekea.
nonsenseKumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.
Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.
Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Masikini Polepole (japo alishiriki kuhujumu sauti za upinzani/ukosoaji enzi za awamu ya 5)Ushauri wangu kwako ni tafuta pesa my friend, get rich or die trying!, kuna watu nchi hii usiwaguse!, sasa hivi utageuka ni ulikuwepo!.
Ni ushauri tuu!.
P
Kuna vitu there is nothing you can do on the untouchables!, kama JPM amekwenda na maji, kapuku mimi ni nani?, unazimwa tuu kama mshumaa!.Kwahiyo unakubaliana na hiyo hali?!
Unataka waendelee na mwenendo huo siku zote?!
Nasema wacha watumalize wazalendo tusiwaogope hawanmbwa wa sisiemu na mtandao kiujumla
Ni mtazamo wako au umefanya utafiki mkuu?Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!