Hebu weka japo screen shot ya miamala ambayo inatoka Serikalini kwenda kwa Rostam Azizi.Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.
Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.
Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Akili za kimasikini hizi mliachiwa na MagufuliYes, mara kwa mara utaskia kanunua hiki kanunua kile, lakini najua hayo manunuzi yake wapo wengine wanaomuwezesha, siku ikifika awamu ya huyu mama ikiisha, sitashangaa akianza kuuza vyote alivyovinunua.
Wanatumia mwanya uliopo serikalini kwa sasa kujilimbikizia mali ili mambo yakija badilika wataanza kuachia kimoja kimoja, ni kama madalali tu, wananunua leo ili wauze kesho kwa bei ya juu zaidi.
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.
Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.
Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Majungu ni ktk ishara za umasikini unless utuwekee ushahidi hapaKumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.
Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.
Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Mmmh!Kuna vitu there is nothing you can do on the untouchables!, kama JPM amekwenda na maji, kapuku mimi ni nani?, unazimwa tuu kama mshumaa!.
Better be safer than sorry!.
P
14 April 2026
TAIFA GAS YAPATA DILI KUBWA JIPYA ,YANUNUA HISA SONGO SONGO GAS
Orca Energy Group Announces Definitive Agreement to Divest Tanzanian...
Orca Energy Group Announces Definitive Agreement to Divest Tanzanian Business
April 13, 2026 07:30 ET | Source: Orca Energy Group Inc.
View: https://m.youtube.com/shorts/7-wivm_Ihmg
TORTOLA, British Virgin Islands, April 13, 2026 (GLOBE NEWSWIRE) -- Orca Energy Group Inc. ("Orca" or the "Company") announces that it has entered into a definitive Share Purchase Agreement (the "Share Purchase Agreement") with Taifa Gas Tanzania Limited ("Taifa") and Amber Energy Investment L.L.C-FZ ("Amber", and together with Taifa, the "Purchasers") pursuant to which Orca will sell all of the outstanding shares of PAE PanAfrican Energy Corporation ("PAEM"), its wholly-owned Mauritian holding subsidiary (the "Proposed Transaction"). Upon closing of the Proposed Transaction, Taifa will acquire 49% of PAEM and Amber will acquire 51%.
Transaction Rationale
The Board of Directors (the "Board") decision to exit the Tanzanian business follows a lengthy and comprehensive assessment of the risks and challenges Orca faces regarding its Tanzanian operations and the future of its business, including ongoing disputes and claims and the prospects of extending the Songo Songo development license and production sharing agreement. While discussions to extend the license and production sharing contract continue, there is significant uncertainty on the outcome and terms of any such extension.
In that context, the Board determined that retaining the business would require Orca to maintain significant cash balances to address highly uncertain future commitments and contingent tax liabilities, including potentially material capital expenditures, development-related obligations and the costs of arbitration and other litigation, the timing and outcome of which are years away and uncertain.
The Board therefore believes that preserving cash for shareholder distributions and divesting the Tanzanian business, together with its associated commitments and liabilities is in the best interests of the Company and its shareholders and consistent with Orca's long-stated objective of realizing value from its Tanzanian business in an orderly and strategic way.
The Board also believes that the Proposed Transaction moves the Songo Songo asset to its next phase under a buyer group anchored by Taifa, a market leader in the importation, storage and safe handling, distribution and export of liquified petroleum gas in Tanzania, and one whose established operating presence and sector focus are aligned with continued development of Tanzania's domestic gas sector.
David Ross, Chairman of Orca, said:
"The Songo Songo project has been a landmark undertaking for Tanzania and Orca. Having been involved with the project through its inception, negotiation, execution and development, I know the role it has played in opening Tanzania's natural gas era, supporting the development of gas-fired power generation and industrial supply, and building a highly skilled Tanzanian workforce and broader domestic capability in the sector.
We are grateful for the opportunity to have participated in that journey with the Government of Tanzania, the Tanzania Petroleum Development Corporation, our employees, customers and other stakeholders.
We believe the time is now right for an orderly transition of the asset into its next phase. In Taifa and its partners, we see a buyer group with the operating presence, sector focus and long-term commitment to Tanzania that can take the project forward."
Rostam Azizi, Chairman of the Taifa Group, said:
"This deal is a pivotal moment for Tanzania. We have worked diligently over several years to make this a reality, and we are proud that Taifa will now play a significant role in shaping the future of our nation's energy landscape.
Songo Songo creates real value for Tanzania – government revenues, domestic energy supply, employment, skills development, local procurement and long-term investment. Greater Tanzanian ownership builds on those benefits, deepens industrial capacity and keeps profit in country, creating wealth for everyone.
I hope this transaction encourages broader Tanzanian participation in the extractive sector, and that development continues, by the Government of clear, practical frameworks that promote investment, support viable projects and strengthen local capacity alongside long-term investment partners."
Details of the Transaction
Orca will divest the Tanzanian business through the Share Purchase Agreement, pursuant to which Orca will sell all of the outstanding shares of PAEM to Taifa (49%) and Amber (51%).
The Share Purchase Agreement provides for a nominal cash price of US$10.00 for the PAEM shares, which is in addition to the other covenants, warranties, representations and obligations of the Purchasers under the agreement and the strategic and commercial benefits that would accrue to Orca by exiting its Tanzanian business.
Under the Share Purchase Agreement, Orca may cause its subsidiaries to repay any amounts owing to it prior to closing and, subject to applicable solvency requirements, to declare and pay dividends or other distributions prior to closing.
Orca also retains the right to receive 50% of certain extraordinary income realized between signing and closing.
Following closing of the Proposed Transaction, Orca will cease to own PAEM and its wholly-owned subsidiary PanAfrican Energy Tanzania Limited ("PAET"), and will not retain any ongoing ownership interest in the Tanzanian business, other than the specific pre-closing economic entitlements provided for in the Share Purchase Agreement. Accordingly, Orca will not have any further interest or obligation in any favourable or adverse outcomes associated with the extension of the Songo Songo development license and production sharing agreement or arbitrations with the Government of Tanzania (the "GoT").
PAEM, through its subsidiary PAET, holds Orca's entire interest in the Songo Songo gas field in Tanzania, including PAET's rights and obligations under the production sharing agreement among PAET, the Tanzania Petroleum Development Corporation (the "TPDC"), and the GoT, and related gas marketing, project agreements and other assets (collectively, the "Tanzania Assets").
The Tanzania Assets represent 100% of Orca's operating assets and business at this time. The Board has determined that based on the net asset position of PAEM and PAET in the near term, the Tanzania Assets have no material residual value given:
all geological data and information are the property of the GoT; all fixed assets owned by PAET in connection with its operations become the property of the TPDC upon expiry or termination of the Songo Songo license and production sharing agreement;
the fair market value of PAET's moveable assets is nominal; and
PAET's contingent tax and other Tanzanian liabilities are significant.
Closing of the Proposed Transaction is subject to customary and transaction-specific conditions, including approval or clearance from the Tanzania Fair Competition Commission and the Tanzanian Minister responsible for petroleum affairs, approval by a simple majority of the votes cast by Orca shareholders at a special meeting of shareholders to be called for that purpose, acceptance by the TSX Venture Exchange (the "Exchange") of the Proposed Transaction and related matters requiring the Exchange's approval or acceptance, and the release of Orca from remaining guarantees and related undertakings in favour of the International Finance Corporation in respect of obligations of PAEM and PAET. Any party may terminate the Share Purchase Agreement for any reason.
Orca intends to seek shareholder approval of the Proposed Transaction at a special meeting of shareholders to be held on a date to be announced by subsequent news release. Orca will prepare and distribute a management information circular in connection with that meeting, which will contain additional information on the Proposed Transaction. Shaymar Limited, Orca's major shareholder, has indicated to the Board that it intends to vote its Orca shares in favour of the Proposed Transaction.
The Board has not made any decisions on the timing and amount of further distributions to shareholders at this time.
No finder's fee is payable in connection with the proposed transaction. The Purchasers are not Non-Arm's Length Parties of the Company or any of its Insiders, Associates or Affiliates (as defined in the TSX Venture Exchange policies). The proposed transaction is not a "related party transaction" within the meaning of Multilateral Instrument 61-101 — Protection of Minority Security Holders in Special Transactions.
About Orca Energy Group Inc.
Orca Energy Group Inc. is an international public company engaged in natural gas development and supply in Tanzania through its subsidiary, PanAfrican Energy Tanzania Limited. Orca trades on the TSX Venture Exchange under the trading symbols ORC.A and ORC.B.
For Further Information Please Contact
Jay Lyons
Chief Executive Officer
ir@orcaenergygroup.com
+44-20 8434 2643
David W. Ross
Chair and Non-Executive Director
dross7915@gmail.com
+1 (403) 830-2455
For media enquiries:
Celicourt (PR)
Mark Antelme
Orca@celicourt.uk
+44-20 8434 2643
Tatizo watu hawasomi majarida au kutizama tv kufuailia thamani ya hisa za makampuni duniani ktk masoko ya hisa Australia, Singapore, London, Zurich, Toronto, New York n.k
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na kuigeuza ni mitaji binafsi. Kwa mtindo tulionao wa kisiasa na hali ya sasa kwamba mama wa lita 8,000 anafanya lolote na chochote bila kuulizwa.
Hali ya TZ kwa sasa, pesa za bajeti ktk wizara zinaishia mikononi mwa mawaziri, makatibu wakuu, na wakurugenzi, tena bila woga maana wanafahamu hakuna Boss wa kuwashikisha adabu. Mawaziri wetu kwa sasa wanachota, ni super rich! linganisheni pesa za Wizara ya Kilimo zilivyopigwa na Bashe. Sasa hivi anajifanya mkulima, BBT yote iliishia mifukoni na sasa imekufa.
Wakati Rostam Aziz anashangiliwa kwa uwekezaji, ifahamike ni pesa zinachotwa toka Hazina yetu na kuiweka miradi binafsi, kununua hisa na kujifanya ni miradi yake. Hiyo ni miradi ya wana CCM huko juu. Tangu rais na wenzake.
Ukiwa mjinga utamsifia mpaka mwizi, ndio nyie wajinga mkipata nafasi kwenye ofisi za umma mnalazimisha utajiri hata kama mishahara yenu midogo.Akili za kimasikini hizi mliachiwa Ha
Kwa mentality hii bro kuna haja gani ya kujiiita Mtz ilhali unajua huna say?Ushauri wangu kwako ni tafuta pesa my friend, get rich or die trying!, kuna watu nchi hii usiwaguse!, sasa hivi utageuka ni ulikuwepo!.
Ni ushauri tuu!.
P
Pasco lacutaUshauri wangu kwako ni tafuta pesa my friend, get rich or die trying!, kuna watu nchi hii usiwaguse!, sasa hivi utageuka ni ulikuwepo!.
Ni ushauri tuu!.
P
Labda ndiyo hao hao walimtemesha jiweRostam Aziz ni kingmaker, ndiye huamua nani awe Rais ila ameamua kukaa nyuma ya pazia na kumtanguliza mkwere na pia ndiye anaamua nani auwawe na nani awekwe kizuizini kama ilivyo kwa Tundu Lissu.
Kagoda LtdHebu weka japo screen shot ya miamala ambayo inatoka Serikalini kwenda kwa Rostam Azizi.
Kinyume cha hapo ni uzushi na wivu tu shughulika kijana usije kufa maskini
Huo ndiyo ukweli wenyewe, say ya sasa ni pesa!, inaongea pesa!, kama huna pesa, huna say jinyamazie, ndio maana nashauri vijana tafuta pesa!.Kwa mentality hii bro kuna haja gani ya kujiiita Mtz ilhali unajua huna say?
Siwakatishi tamaa, mimi ndio nawasaidia kwa kuwaambia ukweli, pesa ndio kila kitu!, usicheze kabisa na mtu mwenye pesa, sasa hivi utageuka historia!. Take time kumsikiliza Banza StoneWewe kama mwandishi "Nguli" ndio uko front kabisa unakatisha vijana wazalendo tamaa...
Kila zama na zama zake, zama zangu za kuitumia kalamu yangu kama kalamu, enzi zile za zama za utu, nimeitumia, sasa tuko zama za pesa, naendelea kuitumia kalamu yangu kuwashauri vijana kutafuta pesa ili kuiishi hii zama ya pesa.Ukishindwa kuitumia kalamu yako, kaa kimya werevu wakusaidie,
No siwakatishi tamaa, ndio nawaambia ukweli vijana watafute pesa, pesa ndio kila kitu, kaa mbali na mtu mwenye pesa, mwenye pesa sio mwenzio!.usiwakatishe tamaa
Kila zama na zama zake, wakati wa zama zangu I was something, sasa zama zangu zimepita, nimabaki kuwa mshauri, nisome gazeti la Mwananchi kila Jumatano na Nipashe kila Jumapili, na kila Jumapili usiku, niangalie kipindi changu cha KMT, ambacho kinasaidia watu bure kupitia Channel Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria, Haki, na Wajibu. Kuwaelimisha Watanzania Wajue Haki zao na Kutimiza Wajibu Wao View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=uSiW3_dfU58l3B-Vkama wewe ushakubali ni mtu usiye na mbele wala nyuma kwenye nchi yako!
Kwa hiyo yule blaza wako alizimwa?....Kuna vitu there is nothing you can do on the untouchables!, kama JPM amekwenda na maji, kapuku mimi ni nani?, unazimwa tuu kama mshumaa!.
Better be safer than sorry!.
P
Kwanza nikupongeze Mkuu Kija, Kijakazi , japo wewe ni KE, but ni miongoni mwa KE wachache who can think, most KE they dont think, they feel!, big up sana kwako, unajinga na kina WOS Woman of substance, Doctor Mama Amon na Meneja Wa Makampuni , just to mention but few!. Kama unadhani ni alijichanganya mwenyewe, endelea kudhani hivyo, ukweli ni kuwa hakujichanganya, alichanganywa!.huyo alijichanganya tu mwenyewe kwenye corona hapo ndipo alipoingia cha kike, labda hakuelewa corona ni nini na kwa nini ilikuja,
Sisi Wazalendo tupo na tulijitolea kumsaidia, alipogusa maslahi ya mabeberu kwa kupitisha sheria mpya ya rasilimali za taifa, tuliwauliza watu humu, Zita Act Retroactively? Tutavunja Mikataba Yote Iliyopo? Can we Stand? Do we have the Guts?hivyo hao akina fisadi papa wakapata chance kwa kuungana na globalist against him ndiyo maana toni blair alikuja kwa raisi mpya baada ya kuapishwa siku hizi sijui hata kapotelea wapi, vinginevyo wasingemuweza,
Hivi ilitakiwa watu wetu wamsaidie mtu wetu, akina sisi tukawasisitiza sana watu wake wamsaidie, Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake! .hivyo dont give up unatakiwa tu uelewe dynamics na siasa za kidunia zinavyokwenda jambo ambalo kwa maoni yangu mwendazake hakulijua/kulielewa, then una balance huku ukisaidia nchi yako na watu wako ukifanya hivyo hawa mafisadi hawana chance,
Tulijitahidi sana kumshauri lazima atembee kupata exposure, hata kama tatizo ni lingua, aende na atumie lugha yetu adhimi ya Kiswahili, wakalimani si wapo! Hivi Maandamano Yanaogopwa Hivi? Ningekuwa Mimi, Ningewaruhusu na Ulinzi Ningewapa na Kuwakaribisha Ikulu!.ila kama ni jambo la kidunia basi na wewe fwata dunia inavyokwenda kwani your too small vinginevyo wakina janaba watakudunga.
There is no way mtu asiye wao akaruhusiwa kuwa mpangaji kwenye ile nyumba yetu!, nakuhakikishia mtu wetu wa 2030 tayari yupo, namjua ila simtaji Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo! yule jamaa akionekana ni tishio kwa mtu wetu, nakuhakikishia, hachukui raund!.hivyo usikate/tishe watu tamaa, wana (mafisadi) nguvu tu kwa sababu uraisi ni wao kwa sasa, raisi mwingine ambaye siye wao na atakayeipenda tanzagiza na kuiweka mbele hawana chance na watakimbia wote kama manji hata huko unaweza kuwafwata pia kama una connections nzuri na kuelewa jinsi dunia inavyokenda na wakashitakiwa na huko huko walikokimbilia, yote yanawezekana ila ni lazima uelewe politics za kidunia,
Dunia ya sasa ni dunia ya pesa, money takls!.yule muhammad amdani wa india ni tajiri na influencial klk rostamu lkn aliwekewa sanctions na USA assets frozen, so dont give up lkn uelewe dunia inavyokwenda, wana nguvu tu (kwa sasa) kwa sababu wanamiliki uraisi, ln mambo yanaweza kubadilika, dunia ya leo mambo yanakwenda kasi sana na chochote kinawezekana, ni hivyo tu ...